Wewe Ni Mungu (Live)

Wewe Ni Mungu
Usiye Shindwa
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana

Wewe Ni Mungu
Usiye Lala
Na Ibada Yangu
Nakupa Wewe Bwana
Weweeeeee
Weweeeee
Sijaona Kama Wewe
Sijaona Kama Wewe
Umepigana Vita Zangu
Nakupa Ibada Ya Moyo Wangu
Usikua Wa Leo

Wewe Ni Mungu
Usiyeshindwa
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana
Wewe Ni Mungu (Usiye Shindwa)
Usiyeshindwa
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana (Wewe Ni Mungu)

Wewe Ni Mungu (Usiye Shindwa)
Usiyeshindwa (Na Sifa Zote)
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana
Wewe Ni Mungu
Usiyeshindwa
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana

Umepasua Bahari
Umevunja Minyororo
Kapasua Na Bahari
Wewe wewe Jemedari
Umevunja Minyororo
Kapasua Na Bahari
Umeyeyusha Milima
Wewe Wewe Jemedari

Hallelujah
Hallelujah

Wewe Ni Mungu (Sema)
Wewe Ni Mungu
Usiyeshindwa
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana
Wewe Ni Mungu
Usiyeshindwa
Na Sifa Zote
Twakupa Wewe Bwana

Hallelujah
Moyo Wangu Umejawa Na Ibada
Ndio Maana Nimesimama Hapa
Nikikuambia Wewe Pokea Sifa
Mamlaka Na Utukufu Bwana

Moyo Wangu Moyo Wangu
Umejawa Umejawa
Na Shukurani

Kwa Sababu Ya Nehema Yako
Kwa Sababu Ya Fadhili Zako

Umenikirimia
Bila Kipimo
Bila Kipimo
Yesu Weee Bila Kipimo
Bila Kipimo
Umenikimira Bila Kipimo Yesu
Bila Kipimo
Bila Kipimo Bila Kipimo
Wewe Si Mwanadamu Haupimi
Bila Kipimo
Bila Kipimo
Asante Yesu
Bila Kipimo
Bila Kipimo
Bila Kipimo



Credits
Writer(s): Evelyn Wanjiru
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link