Jipende (feat. Trio Mio)

Yay! Yay
Yay! Yay

Queen Kong natafuta king kong
Tujenge kakejaaaa na huko Ngong
I like to play a game na tuprolong
Wakileta struggle show them where they belong
D for the door close it before you gone
Bye
Sipendagi war my space into a dome
Peace be with you one day we gone
But love we keepeth tunagrow

They busy online keyboard worrior
Hater
Chunga enemies wamekua supplier
Hater
Ukiwakataa utaitwa mala
Hater
Starting drama utapata worrior
Dora milaje

Siujinice siujipende
Siujinice siujipende
Siujinice siujipende
Wacha kua hater jipende
Trio mio
Siujinice siujipende
Siuji
Siujinice siujipende
Siuji
Siujinice aaaaha siujipende
Wacha kua hater jupende

Ah jijenge
Mali clean juu genes na mandege
Heshima ndogo itafanya ufinywe make
Sorry
Tumia ubongo Nairobi usipigwe na rende
Ni maana Trio enjoyment iko kwa damu
Natoka mbio manze akinisho nicome
Ye hupiga nduru jirani si wananing'amu wewe
Nguvu za njugu karanga nampea mautamu
Naskia nakajanja, sura less interesting bila
Mascara na wanja
Hainanga lawama
Many'anga ya wanga debe bado mbichi mi ndio
Makanga wa kwanza majapa na kakha
Kusulu dulu nachura kunywesha mguu

Nawasha dulu nasura ya afternoon
Legeza macho mfanane na Ban ki-moon
Jipende tena na passion naupende pia
Manduguu

Siujinice siujipende
Siujinice siujipende
Siujinice siujipende
Wacha kua hater jipende
Trio mio
Siujinice sijuinic siujipende
Siuji
Siujinice sijuinic siujipende
Siuji
Siujinice aaaha siujipende
Wacha kua hater jupende

Who can bwogo me when I love myself
Who can shake me when I love myself
Story am a big man I know people weeeeh
Wacha
Who can bwogo me when I love myself
Who can shake me when I love myself
Story am a big girl I know people weeeeh
Wacha

I aim Up! Up! Up
Nikishuka down that's what u, up
Usinisomee shida zangu I already know
I aim Up! Up! Up

Nikishuka down that's what u, up
Usinisomee shida zangu I already know

Siujinice siujipende
Siujinice siujipende
Siujinice siujipende
Wacha kua hater jipende
Trio mio
Siujinice sijuinic siujipende
Siuji
Siujinice sijuinic siujipende
Siuji
Siujinice aaaaha siujipende
Wacha kua hater jupende

Siujinice, siujipende
Siujinice, siujipende
Siujinice, siujipende
Wacha kua hater jipende
Trio mio
Siujinice sijuinic siujipende
Siuji
Siujinice sijuinic siujipende
Siuji
Siujinice aaaaha siujipende
Wacha kua hater jupende

Jipende

Aah jipende

Jipende

Aah jipende



Credits
Writer(s): Kingfemmmy Records
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link