Bwana Ni Yeye (feat. Luck Edmond)

Bwana ndiye mchungaji wangu
Sitapungukiwa na kitu
Tena yeye ni nuru na wokovu wangu
Ni mwogope nani?

Bwana ndiye mchungaji wangu
Sitapungukiwa na kitu
Tena yeye ni nuru na wokovu wangu
Ni mwogope nani?

Hakika nehema na fazili zake
Zitanifuata zitanifuata na amini
Nitakaa nyumbani mwa Bwana
Milele yote Milele yote

Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye
Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye
Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye
Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye

Anayejuwa kutoka kwangu ni yeye
Na kuingia kwangu ni yeye
Niogope nini sasa wakati mimi ni wake
Najivunia jina lake

Haijalishi mahadui wawe wengi
Sitaogopa Najivunia jina lake
Maana yeye ni nuru na wokovu wangu
Sitaogopa eh

Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye
Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye
Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye
Bwana ni yeye, ni yeye, ni yeye, ni yeye

Credits
Writer(s): Esther Mado
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link