Hasara

Nananah
Nananah
Naa
Nananah

Mwenzenu nyota yangu butu, hivyo naiona kero dunia
Yaani simba nala vibudu, sinaga kushoto wala kulia
Kifupi ananifanya fyatu, siishiwi machozi miye kulia
Hatakama ni adabu, basi angezipunguza twabia

Si angeniambia mapema, kama nafanya biashara ya hasara
Kuliko kunifumbua macho, kisha animwagie masala
Diana unaniumiza bwana, karma yako ya kufahama hapana
Siamini ghafla naona kifo, kwa haya unayoyafanya bila haya

Ndo donda ndugu umenitosha, imepinduka shilingi naiona
Tafaharani kunidanganya, kumbe mapenzi shilingi kuhongana
Nayakumbuka yale maneno, kwamba hutanifanyia kusudi wala
Ona sasa mashangingi kwangu, umegeuka kituko we hawara

Haa
Hasara
Hasara
Hasara
Mwenzenu nimehasirika
Haa
Hasara

Hasara
Hasara
Hasara
Hasara
Mwenzenu nimehasirika
Haa
Hasara

Zile chanda chema huvikwa pete
Sasa imebaki misemo kelele tu
Wanafiki hawanaga shobo
Sasa umewapa midomo nyegere
Uzuri wako ndio mshale
Unanifumafuma moyo wangu mdogo
Sasa mbona usibadili tabia
Turudiane tomorrow
Ndo donda ndugu umenitosha, imepinduka shilingi naiona
Tafaharani kunidanganya, kumbe mapenzi shilingi kuhongana
Nayakumbuka yale maneno, kwamba hutanifanyia kusudi wala
Ona sasa mashangingi kwangu, umegeuka kituko we hawara

Haa
Hasara
Hasara
Hasara
Mwenzenu nimehasirika
Haa
Hasara

Hasara
Hasara
Hasara
Hasara
Mwenzenu nimehasirika
Haa
Hasara

Hasara
Hasara
Hasara

Nimemisi tendo kitendawili
Naona hali inajirudia
Ila sina budi kukubali iih
Baby



Credits
Writer(s): Ackley Taro
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link