Kama Race

Wewe Shyboy Ghetto Taikun
Kaa si kali si sisi
Fatboy
Oyaaa
Hii maisha haina huruma
Saba

Aaah
Mama ni wa kwako na nishamdandia
Buda kula vako mi nisha kuambia
Ana sura na matak' ka wa Tanzania
Ukimsare kwa mataa si tunapandia
Kama Race
Tuko mdogo mdogo na anadai kama race
Mkiss kwa kisogo na ma thigh mpaka face
Mbio ya wakale na maasai tuna race
Amefanya mpaka neighbour anadai na ni les'

Mi sio fisi niliwashow ni ma daimono
Vitu sticki ni huachanga kama konokono
Nikiteka lele kundule ni huvaa kwa mkono
Threesome, moja ka slim kengine ni ka nono
Kamevaa mini ni ikuss anapiga promo
Ushaipiga kitu ikatoa povu ka omo
Na bila kakitu kitu haiwezi ingia shimo
Chakula tamu ni ile inapikangwa na mwiko
Bila pombe niuleweshangwa na itina
Ndio maana sijali nikipeleka poko dinner
Usikule pesa zangu ka utaninyima
Na ka nakutambua utanikumbuka na mimba (Shyboy)
Ni fisi ilihepanga kichaka
Ikakuja jiji kukimbizana na paka, kiraka
Ndio kenye inaacha ikipata
Kama race anadai niende faster (wewe)

Mama ni wa kwako na nishamdandia
Buda kula vako mi nisha kuambia
Ana sura na matak' ka wa Tanzania
Ukimsare kwa mataa si tunapandia
Kama Race
Tuko mdogo mdogo na anadai kama race
Mkiss kwa kisogo na ma thigh mpaka face
Mbio ya wakale na maasai tuna race
Amefanya mpaka neighbour anadai na ni les'

Fatboy
Vulae mpapa
Wajibika baba
Ako maji si we humtaka taka
Usijali huyo ni chura ako juu ya waba waba
Ahahaaa
Ex ananishow martha anapenda Karen
Ni kama mi na mind kuna wengi ma vifaa
Na ntacum tu the same
Alipata Paul lakini si
Paul Walker
So wacha ni ji nice
Niki sip hii Johnny Walker
Siwezi trust dem
Wao hukua tu maswara
Hii story joh ni toxic
Baby mama joh ni mnati
Hawezi tii amri
Anasema ni mclassy
Bila benz joh hawezi marry
Peleka hiyo mbali
Unaweza peleka mbali

Mama ni wa kwako na nishamdandia
Buda kula vako mi nisha kuambia
Ana sura na matak' ka wa Tanzania
Ukimsare kwa mataa si tunapandia
Kama Race
Tuko mdogo mdogo na anadai kama race
Mkiss kwa kisogo na ma thigh mpaka face
Mbio ya wakale na maasai tuna race
Amefanya mpaka neighbour anadai na ni les'



Credits
Writer(s): Gerald Wauthi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link