Twamhitaji

Nitakiri siku siku zote kwamba pendo lako ni la kudumu
Heya
Hakuna wa kufana nawe uliyekuwa tangu siku za kale
Siku za kale
Mungu wa ajabu, kimbilio langu, mweza yote nasifu
Nakuinamia, uliyenifia, ni kwako utukufu

Yanibidi, sibadili nyimbo hizi niwapashe habari
(Niwapashe habari njema)
Mhifadhi wa maisha anabisha awe kwetu mfariji
Huh

Rafiki wa kila msimu kitachotutenganisha si kitu
Heya
Yaliyonifadhaisha ninayakabidhi kwako hakika
Hakika
Nina tumaini, wema na fadhili, zipo kwa kila siku
Heh
Wanisimamia, wanipigania, na siendi kuzimu

Yanibidi, sibadili nyimbo hizi niwapashe habari
(Niwapashe habari njema, oh sikiliza)
Mhifadhi wa maisha anabisha awe kwetu mfariji
Iye iye iye iye iye iye iye
Heh namhitaji, oh mhifadhi
Heh twamhitaji, iye iye iye
Oh twamhitaji, oh mhifadhi
Hee, oh oh oh oh oh
Yanibidi, sibadili nyimbo hizi niwapashe habari
(Oh niwapashe habari njema)
Mhifadhi wa maisha anabisha awe kwetu mfariji
Akae rohoni
Yanibidi, sibadili nyimbo hizi niwapashe habari
(Niwapashe habari njema)
Mhifadhi wa maisha anabisha awe kwetu mfariji
Oh, twamitaji

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link