Siamini

Mmhmm oyeeeh faruuuh
Tulia moyo usiwaze
Ukiwaza wewe na mwili utaumiza
Unaniona kibogoyo kutafuna siwezi
Chakula changu wewe wananitafunia ah

Ulisema tunafit fit mwaya
Iweje Leo unaniona napwaya
Napenzi umeliedit kwa ubaya
Linapotea
Si ulisema tunafit fit mwaya
Iweje leo unaniona napwaya
Napenzi umeliedit kwa ubaya
Linapotea

Hivi niwewe unafanya naumia
Mia umia ah
Nahisi kama naota aah ahaa
Kweli wewe unafanya nalia Lia liaah
Yani bado naota

Mi bado siamini
Siamini
Siamini
Mwenzako siamini

Maumivu ya mapenzi uyasikie kwajirani
Ah ahaaahaa omba yasikupate
Ghafla hunipendi imenishusha na thamani
Aaaah me nalia ah omba yasikupate
Zile siri siri tukiwa wawili wili
Umezimwaga sasa ni kitendawili
Makosa yote kwako nikakili Kili
Aah omba yasikupate

Ulisema tunafit fit mwaya
Iweje leo unaniona napwaya
Na penzi umeliedit kwa ubaya
Linapotea
Si ulisema tunafit fit mwaya
Iweje leo unaniona napwaya
Na penzi umeliedit kwa ubaya
Linapotea

Mi bado siamini
Siamini
Siamini
Mwenzako siamini

Ulisema tunafit fit mwaya
Iweje leo unaniona napwaya
Napenzi umeliedit kwa ubaya
Linapotea

Me bado siamini
Siamini
Siamini
Mwenzako siamini



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link