Kiapo

Ni majani mapenzi
Nimeamini kweli huota kokote
Hata kwenye ukame
Ni upepo mapenzi
Nimeamini kweli huvuma popote
Hata kwenye jua kali
Sukari guru
Naongezwa na muwa
Hainidhuru sumu
Napewa maziwa
Utamu chokoleti (Anhaaa)
Napepewa sisweti (Oyaaa)
Silishwi michikichi (Anhaaa)
Misupu ya samaki (Oyaaa)
Nawaibia Siri
Sihitaji wa shauri
Itawapanda ngiri
Kwa yenu maneno na kauli
Tumeivana na yeye (damu damu)
Damu damu damu (damu damu)
Daaaam daaam damu (kiapo cha damu)
Tumeshibana na yeye (damu damu)
Damu damu damu (damu damu)
Daaam daaam damu (kiapo cha damu)
Anipoza maumivu panadol
Kwetu hakuna bingwa ngoma draw
Ananiweza
Ananijulia
Yote mikeka ananichania
Utamu chokoleti (Anhaaa)
Napepewa sisweti (Oyaaa)
Silishwi michikichi (Anhaaa)
Misupu ya samaki (Oyaaa)
Nawaibia Siri
Sihitaji wa shauri
Itawapanda ngiri
Kwa yenu maneno na kauli
Tumeivana na yeye (damu damu)
Damu damu damu (damu damu)
Daaaam daaam damu (kiapo cha damu)
Tumeshibana na yeye (damu damu)
Damu damu damu (damu damu)
Daaam daaam damu (kiapo cha damu)



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link