Miss Behavior (feat. Savara & Fathermoh)

Yea, yea, yea, yea
Whoa-whoa, whoa
(You are now listening to the sounds of the ghost)
Yea, ayy, yea, ayy
Okay, ayy, closer, no distance
You like me, your mister
Whine it, calypso, me like it, sadicto

Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda (yeah, yeah)
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka (yeah-yeah) ye' ni mrembo lakini ye' ni-

I told my wife wacha ni-misbehave
Vile hiyo makali inani-instigate
We' unadai bank na mi si CBK
I broke your heart, and I'll do it again
So I went on a date with this big mama
All this pressure, I had to discover
Boy flani ako "Ayy, najua huyu madam"
Is he being jealous, or am I being stubborn?

Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni-

Kausunda, kauzimia kwa club ni mjinga
Ashaiosha TV, radio na woofer
Jamani, walai mi namchuja
Mi namchuja, ah
Nishaimpata kwa roadi nikamkuta
Nikampeleka kejani nikaisunda
Nikamtolea bakora kimchuda
Ni makelele kelele nitambugda

Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni

Dem ni mrembo like mmmh
Don't do me like that, don't misbehave
Come closer I got the juice
'Cause you be running, running, running
Niko gej, niko maji
Nikiwa maji nakuwanga mtiaji
Viatu zangu usikanyage ni safi
Niko madree natingisha manati

Pombe inanibamba bamba-bamba-bamba-bamba-bamba-bamba
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo
Lakini yeye ni danda-danda-danda-danda-danda-danda-danda
Jaba na kashata, misbehave na hizo haga za Mjaka, ye' ni mrembo lakini ye' ni-

ABH Sound, baby

Credits
Writer(s): Delvin Savara Mudigi, Wesley Ouma Casmir
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link