Kwaheri

Yow
Yow, yow
Cheki
(Yow)
Yow turn me up
Yow cheki

Bad B
Kwa hizi streets
Kila siku namwomba la heri
Nilikuwa nimempenda tu sana lakini ilibidi nimesema kwaheri
Kila siku kuseti maheadie
Msupa ni foreign hapendi za wengi
Ikijipa kuseti kisensi, jamani mpenzi kwaheri
Bad B
Kwa hizi streets
Kila siku nakuomba la heri
Nilikuwa nimempenda tu sana lakini ilibidi nimesema kwaheri
Kila siku kuseti maheadie
Msupa ni foreign hapendi za wengi
Ikijipa kuseti kisensi, jamani mpenzi kwaheri

Bad B alijua mi ni trapper, 254 mi ndo real deal rapper
Vacation trip to london, pressure ni mob kwa mnisaa hapa
Balaclava nikikuibia shamba
Msupa ni lazima apige ma Prada
Alijaribu kuniuliza how much I Love her
Alijaribu kuchekesha mamba
Aliniaambia anataka kuhama the East nikamshow hiyo msupa haiwezi
Hiyo vaco ya kuchochwa na b*tchez kwa streets usoo, urazi, vishenzi
B-boy na mi ni wa Buruklyn lakini narep the East vifully
Ngori ikitoka napatch ka Fury, murder iyo beat iseti ka Juli

Bad B
Kwa hizi streets
Kila siku nakuomba la heri
Nilikuwa nimempenda tu sana lakini ilibidi nimesema kwaheri
Kila siku kuseti maheadie
Msupa ni foreign hapendi za wengi
Ikijipa kuseti kisensi, jamani mpenzi kwaheri
Bad B
Kwa hizi streets
Kila siku nakuomba la heri
Nilikuwa nimempenda tu sana lakini ilibidi nimesema kwaheri
Kila siku kuseti maheadie
Msupa ni foreign hapendi za wengi
Ikijipa kuseti kisensi, jamani mpenzi kwaheri

I told her shawty you can come to my place we can do whatever you like
Mi si kama most of your ex's sitakuchocha na lies
Baby imma treat you right
Imma keep my eye on the prize
Netflix and chill
Down in the night

(Yow)
Yow
(Yow)
MKDON
(MK)

Credits
Writer(s): Mk Don
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link