Kibango (feat. Diamond Platnumz)

(Hm)
Hii party ina mademu bwana (ina mademu bwana)
Hii party ina wachumba sana (ina wachumba sana)
Eh, hii party ina wachat bwana (eh), (ina wachat bwana)
Hii party ina madanga bwana (eh), (ina madanga)

Ningejuta ningekosa (eh), kuja kwenye (hii party)
Ningejilaumu (eh), sana (hii party)
Eti mulitaka (eh), nisitokee (hii party)
Si mngenicheka (eh), sana (hii party)
Kwenye masha ndipo (eh), kwenye (hii party)
Mwaga watoto bwana (hii party)
Nina mapozi ndipo (eh), kwenye (hii party)
Kamwaga madanga bwana (hii party)

(Heh), naskia nye-, naskia nye-
Naskia nye-e-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba
Naskia nye-, naskia nye-
Naskia nye-e-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba

Kipablo
Pablo
Haujui?
Pablo
(M-mr LG), ah, hii party inavijii (ina vijiti)
Yani jinsi Ilivyoshona ndani ntiti nje ntiti
Hii party ina mabiii ina mabinti
Vitoto vya elufu mbili vilivyonoga mashauzi vipi

Eh, bana mi sankae wapi?
Ama ndo nipande juu ya meza? (Panda juu yameza)
Ama nije kati moja kwa moja nije kucheza?
Sankae wapi ama ndo nipande juu ya meza?
Ama nije kati moja kwa moja nije kucheza?

Ningejuta ningekosa kuja kwenye (hii party)
Ningejilaumu sana (hii party)
Eti mulitaka nisitokee (hii party)
Si mngenicheka sana (hii party)
Masha yupo kwenye (hii party)
Kazimwaga bebe bwana (hii party)
Basi yuko kwenye (hii party)
Kavishusha vitu bwana

Weh unaskiaje? naskia nye-
Naskia nye- unaskia nini?
Naskia nye-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba
Naskia nye-, naskia nye-
Naskia nye-e-, nyepesi hii pombe nchanganyie baba

Kipablo, Pablo, haujui?, Pablo
(M-mr LG)
Kibango iko, kinakwenda meza ya nani ebu nisomee?
Kibango iko, kinakwenda meza ya nani ebu nisomee?
Kibango iko, kimeandikwa tajiri nani ebu nisomee?
Kibango iko, kimeandikwa tajiri nani ebu nisomee?

Eh, kinakwenda meza ya nani? (Kibango)
Kimeandikwa tajiri nani? (Kibango)
Mwenye fujo nani? (Kibango)
Eh-eh, (Kibango)
Kinakwenda meza ya nani? (Kibango)
Kimeandikwa tajiri nani? (Kibango)
Huyo anaekomesha nani? (Kibango)
Ee-eh, nani?

(Kamix Lizer)



Credits
Writer(s): Abdul Juma Idd, Nasib Abdul Juma Isaack
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link