Ebenezer

Oouuh uuu
(Unaweza) Unaweza
Peke yako YESU
(Unaweza) BWANA (Mmh)
Uuuh
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
EBENEZER
MUNGU wangu
EBENEZER
EBENEZER EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
Ulinisaidia jana
Unanisaidia leo
MUNGU usiyechoka
Nakuita EBENEZER
Umefuta machozi yangu
Umeondoa aibu yangu
Siwezi kuchoka
Kukuita EBENZER Wewee
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
Sio kazi rahisi Kupita juu ya maji
Kuwavusha wana Israel katika Bahari ya Shamu
Kubadilisha historia ya maisha ya watu
Ndio maana nakuita wewe EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu (Ngome yangu)
Wewe ni EBENEZER (Msaada wangu)
Wewe ni EBENEZER (Mfariji wangu)
Wewe ni EBENEZER (Halleluya)
Msaada wa karibu
EBENEZER ooh oouuh
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu (Hakuna kama wewe)
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER (Mataifa yote yanajua)
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu (Kimbilio la taifa)
Wewe ni EBENEZER (Na Mataifa)
Wewe ni EBENEZER (Kimbilio la Dunia nzima)
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
Wewe ni EBENEZER (Halleluya)
Wewe ni EBENEZER
Wewe ni EBENEZER
Msaada wa karibu
BENEZER EBENEZER
EBENEZER Halleluyah
Mmmh



Credits
Writer(s): Mathias Walichupa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link