Popote
Nakiwasha tu popote me sijali kuhusu harufu
Kuzza
Nakiwasha tu popote me sijali kuhusu harufu (Sijali)
Broke nlikua kibungo saiv na pesa nina goodlook (Handsome)
Jinsi navoishi nawashangaza they shook!!!
Navofanya vitu vyangu ni lazima Unibook! (Lazima)
Napata shida kubalance dini yangu na mziki (Jau)
Jinsi navoishi maisha yangu sitafuti kiki (Hapana)
Kutoboa toka street sio poa yea it's tricky (Sio Poa)
Tupo kwenye age ya watu ambao hawaaminiki
Everyday I pop ma shit 7 days za wiki
Kitaa sio poa ni pamoto hakukaliki
Wapo wenye nnazo wengine wanakosa riziki
Bila uvumulivu unaeza kuona muda hufiki
Siwezi kukujudge naelewa tu ni dhiki
Siwezi kukutrust sijui unataka kipi?
Tushapita njia zilizokatazwa hazipitiki
Nishaona mengi at this point sitishiki
Nishaona mengi mpaka macho yananiuma
Hivi kweli ilibidi ampige demu wake chuma
Nina Plan C jus incase plan B ikibuma
Usijali nimekuelewa sasahivi tu natuma
Yea nigga
Hali ya utulivu
Feelin ya amani
Yea nigga
No negative vibes
Humu ndani
Niko na wagwani kwenye bnb floor ya nane
Yea nigga
Sim DnD niko Offline
Ninatafakari hatua yangu inayofuata
Vishawishi vinakua vingi ukijipata
Offcourse kuna madhara ya kujizima data
Endelea unachokitafuta utakipata
Nipo kwenye balcony natazama jiji
Kwanini binadamu tunapenda sana ligi
Naishi na kila mtu ila simwamini any one
Maisha yamenifanya kua savage kama 21
Kwanin kila kitu ntachofanya ni cha kinyamwezi
Ipo kwenye damu huwezi kuiba huu unyamwezi
Me Mjasiriamali sitegemei ela ya mwisho wa mwezi
Njia za kulipwa zipo nyingi kuna many ways

Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.