Nibusu (feat. Yammi)
Haha, yeah, badman me
Yammi, Yammi
Mopao, mmh-eeh (Majorkizy baby)
How sweet inside, I be dripping when I get inside
Turning her upside down
Crazy looking when I squeze inside
Sweet like my hot green tea
Mama, you're looking sexy tonight
I been about her sweet thing, thing
And she knows that what I touch is mine
On my way to my place right now
I've been looking wanna be inside
'Cause you ain't ever felt all mine
Come over, let me give you a ride
Let me show you bout that grip of mine
Take it off, let me see you shine
Let me show you bout that grip of mine
Take it off, let me see you shine
Ooh-ooh
Kwako nimezama, penzi nipatie mazima
Jeuri sina haki nitafia madina (bila wewe)
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Mmh, nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
Nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu (hadharani)
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Habibi usingizi ndo kitu nakosa, mpenzi
Na nikikosa ile kitu ndo kabisa silali, mpenzi
(Nazidiwa, aah)
Nusu kaputi, nusu mgonjwa najifia baby
Na sindano yako ndo yanitosha kutibu yangu maradhi
Kama mende niko chali
Penzi kalikikata na kisu kikali (mtoto)
Upepo wa bahari
Anitulizaga najikutaga mbali (kiboko)
Na ulivyo mtamu kama pipi
Sijui nikufananishe na nani
Ya kumung'unya ya kijiti
Kwa kuitaja mate mdomoni
Sweet like my hot green tea
Mama, you're looking sexy tonight
I been about her sweet thing, thing
And she knows that what I touch is mine
Yammi niko hoi, baby
Kwako nimezama penzi nipatie mazima (mazima)
Jeuri sina haki nitafia madina (madina)
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Nimumu hadharani
Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu (hadharani)
(Talk to me boy) ka naota tu haniishi akilini
(Uuh, baby) ka naota sijui kwa nini
Kama naota tu huniishi akilini, baby
Kama naota tu umenipa nini
Kamix Lizer
Yammi, Yammi
Mopao, mmh-eeh (Majorkizy baby)
How sweet inside, I be dripping when I get inside
Turning her upside down
Crazy looking when I squeze inside
Sweet like my hot green tea
Mama, you're looking sexy tonight
I been about her sweet thing, thing
And she knows that what I touch is mine
On my way to my place right now
I've been looking wanna be inside
'Cause you ain't ever felt all mine
Come over, let me give you a ride
Let me show you bout that grip of mine
Take it off, let me see you shine
Let me show you bout that grip of mine
Take it off, let me see you shine
Ooh-ooh
Kwako nimezama, penzi nipatie mazima
Jeuri sina haki nitafia madina (bila wewe)
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Mmh, nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
Nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu (hadharani)
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Habibi usingizi ndo kitu nakosa, mpenzi
Na nikikosa ile kitu ndo kabisa silali, mpenzi
(Nazidiwa, aah)
Nusu kaputi, nusu mgonjwa najifia baby
Na sindano yako ndo yanitosha kutibu yangu maradhi
Kama mende niko chali
Penzi kalikikata na kisu kikali (mtoto)
Upepo wa bahari
Anitulizaga najikutaga mbali (kiboko)
Na ulivyo mtamu kama pipi
Sijui nikufananishe na nani
Ya kumung'unya ya kijiti
Kwa kuitaja mate mdomoni
Sweet like my hot green tea
Mama, you're looking sexy tonight
I been about her sweet thing, thing
And she knows that what I touch is mine
Yammi niko hoi, baby
Kwako nimezama penzi nipatie mazima (mazima)
Jeuri sina haki nitafia madina (madina)
Vya kuiba iba havinogi nimeshindwa
Nilisema napita mwishoe nimezama
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Nimumu hadharani
Nami nikuchumu mpenzi (hadharani)
Nibusu (hadharani)
Nami nikubusu (hadharani)
Nimumu (hadharani)
Nami nikuchumu (hadharani)
(Talk to me boy) ka naota tu haniishi akilini
(Uuh, baby) ka naota sijui kwa nini
Kama naota tu huniishi akilini, baby
Kama naota tu umenipa nini
Kamix Lizer
Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.