Nimeketishwa Juu

Aaah, oouuaaa
Oouooo, ooh
Ninapotafakari, Wema wa MUNGU
Nakosa neno kusema
Naona ni fahari, pekee nisingeweza
BWANA minashukuru, maana
Nilipewa majina, wakati wa kushindwa
Yaizuie hatima, ooh
YESU umefuta, umenipa jina jipya
Naitwa mbarikiwa, eh
Nimeketishwa Juu Kule
Juu Kule, Juu Kule
Alikopanga MUNGU kule
Juu kule, Juu Kule
Amenipa majibu (Paarara)
Amenipa furaha (Paarara)
Naamani (Paarara)
Kaniweka (Juu kule)
Mimi si wajana (Paarara)
Amenipa testimony (Paarara)
Amenitoa chini (Paarara)
Kaniweka (Juu kule)

Oouoo, ooooo
Mimi wa leo (Sikama wa jana)
Mambo, yamebadilika
Hakuna mlima, hakuna ukuta
Wakuzuia (Baraka za MUNGU)
Akisema ndio, hakuna wa kupinga
Ahadi zake BWANA, nikamilifu
Mimi nimeziona, fadhili za BWANA
Amenitendea
Amenitendea BWANA, mimi iih
Nimeketishwa juu kule
Juu Kule, Juu Kule (Mahali pa heshima)
Alikopanga MUNGU kule
Juu Kule, Juu kule
Amenipa majibu (Paarara)
Amenipa furaha (Paarara)
Naamani (Paarara)
Kaniweka (Juu Kule)
Mimi si wajana (Paarara)
Amenipa testimony (Paarara)
Amenitoa chini (Paarara)
Kaniweka (Juu Kule)

Ouuooo, ooo



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link