Umewahi Ongea

Umewahi ongea na Mungu wako
Ukamweleza siri zako
Lini uliacha kumuomba
Ulipata majibu gani
Umeongea lini na mwokozi wako
Ukaweka chini mizigo yako
Je,unajua-yeye anakujali
Ndiye rafiki wa kweli(waaha kweli)

Tazama (tazama)ameumba(ameumba)
Mbingu takatifu(mbingu takatifu)
Hakuna shida wala majonzi(aaaah)
Hakuna kifo yote yamepita
Tutamwabudu na kumsifu Bwana(msifu bwanaa)
Na tutamuimbia na tutamshukuru
Zawadi ya uzima milele (eeehee)
Tulikua wadhambi tumeokolewa
Na tutamsifu milele(milele)

Tuwaambie wengine wema wake Yesu
Jinsi anavyotenda kwa waaminio
Tukimuomba tena kwa imani
Hutupa mahitaji yetu(yetu yote heee)
Umkaribie Yesu uombe kila siku
Moyoni mwako kwa unyenyekevu
Anasikia yote uyaombayo
Ndiye rafiki wa kweli
Anasikia yote tuyaombayo
Ndiye rafiki wa kweli



Credits
Writer(s): Mosie Lister
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link