Intro (Kitu Sewer)

Oya oya
Ahem

6 sips za whisky, na washakuwa tipsy
Mazombie 6 ngware wanastahili maombi
Risking kuchotwa, akiwa high on illicits
Kwa distribution ndani ya districts

Raiyaa wameandama ka insects, ticks na leeches
Bitches pia wanataka haki yao
Ma mbwa koko lips pink ka plums na macho nyanya
Kwenye rehab wamevisit, what is this?

Wamerelapse, withdrawal symptoms
Na marapper wana makali pia na system
Wamefall victim, ni ma past tense
Tei related juu alcohol ndio the '-ism.'

Macompany zimeconspire kumake doh na we, ju ya poverty
Inamake sense, mabrand huo court case
Still changaa dens ndo hukanja sanse ka 150
Drunk and disorderly tukiwatch ile game ya Arsenal

Tukieka Liver kwa pool na methanol and all
Ni business, get the big picture
So sip this nikibonga kama the first-hand witness



Credits
Writer(s): Paul Odhiambo Mboya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link