bestie

(Managemente Synergy)

Heyy bestieeee

Ananiitanga Bestie anadhani mi ni wao
Anataka nimpende but nishapata wangu
Akitaka nimskize, anaweza tuma thao
Therapy si bure, kadepo angalau
Ananiitanga bestie, anadhani mi ni wao
Akitaka nimepende na nisiwahi sahau
Aninispie kisembe, kuku na pilau
Nitareconsider nikipunguza ubao

Hana haga (hana haga bana)
Lakini yenye iko inatosha, kuwateka hao maninja wa Gomorrah
Wanadai kumbomoa, kama Avatar, Legend of Korra
Maamatures fulani hudhani wako important (whooo!)
Hold up, ngoja hapo naweka comma
Angekuwa ananyesha maybe ningeweka period
Imperial, hiyo ni kitu ingine trivial
Msinitest hamjui buda naweza kuwa serial (walahi)
Nipite na nyinyi wote wenye mnadai kumfanya afeel worthless
(Nyinyi watu nyinyi)
Hata i'm this close kumfanya aokoke, tuone (amen)
Ndio mse amreach itabidi amenipitia, connect

Ananiitanga Bestie anadhani mi ni wao
Anataka nimpende but nishapata wangu
Akitaka nimskize, anaweza tuma thao
Therapy si bure, kadepo angalau
Ananiitanga bestie, anadhani mi ni wao
Akitaka nimepende na nisiwahi sahau
Aninispie kisembe, kuku na pilau
Nitareconsider nikipunguza ubao

Kwanza tulia, wacha niwaibie siri zake (tulia, wacha niwashow)
Kama hauna gari buda we si type yake
Kama haujapack 10 inch, we si size yake
Na daddy issues ziko hapo, sidhani unaweza manage
At ease, alert, si food pekeyake anaweza spin
Attach, CV yako hapo usiende ukiwa beginner
Na kama unadai kumbeba tu ufala
Jua utakula teke kama ball kwa mguu ya Salah

Awwww bestie, are you crying?
Oh my God, you said you love me
Ahhhhh!

Ananiitanga Bestie anadhani mi ni wao
Anataka nimpende but nishapata wangu
Akitaka nimskize, anaweza tuma thao
Therapy si bure, kadepo angalau
Ananiitanga bestie, anadhani mi ni wao
Akitaka nimepende na nisiwahi sahau
Aninispie kisembe, kuku na pilau
Nitareconsider nikipunguza ubao

Oh my God, aaah, Skeeeetch
Unafanya nikuwe emotional
Yeah, mimi nitakuwa nakuambia hizi vitu hata kama hauniambii
Heri nikuwe nakutumia voice note nakuambia
"Hi Sketch, nakupenda."



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link