Koroga

Koroga lyrics- Josephyl, Joefes, Zero Sufuri, Toxic & Young Bon

Amenikoroga, koroga, amenikorogea maurogi
Si amenifanya niwe ka muguruki
Amenikoroga, koroga, amenikorogea maurogi
Si amenifanya niwe ka muguruki

Amenikoroga, mi humcheki Kwa bafu joh akioga
Stingo niza yoga, si muoga
Nampa love nikaalikuwa ametoroka
Ye hunishika kuliko muguka
Natoa nyoka inabaki amenyooka
Ye ni msick apa mi ndio doctor
Keja ni zii kama movie ya wrong turn
The medicine nampatia the whole time
Ata kenchic haionji vile unaonja
Uji yangu nikiwa mgonjwa
Hio na uji yangu masaa naigonga
Figa fine kama chupa ya soda

Amenikoroga, koroga
Amenikorogea maurogi si amenifanya niwe ka muguruki
Amenikoroga, koroga amenikorogea maurogi
Si amenifanya niwe ka muguruki

She's hot, so hot
Gad bro ni gala what
I think she got me crazy, huskii for her am ready
Ulikuwa unadai twende outing, then why are you still shouting
I want to do the right thing never disappointing
Ukinitaka unanitaja, ukona tenje just halla
Wanasema mi ni fala juu yako I'm crazy

Gyal you amaze me, the smile on your look
If imma sleep nikirau, wanna look at you
Si mziki tu
Mi bado huwa naluga vurugu
Na Bado wakizusha si ni mbuga kg weight
Huskii hawatoshi unga unaweza nita
Sushi wild bus Kwa nyumba

Amenikunywa kama drink amenifanya muguruki
Design ananipa aki ya nani kwake mi sitoki

Juju za Juja zilifanya nikajijo yooh
Msichana ni wa KU na jina ni kairetu
Anaishi kwetu hee maziwa refu
Mi si afande lakini atanipa kitu
Hatupandi miti na tunachoma misitu
Ni simple seti sim 1 haina sim 2
Maisha pandashuka huwezi Baki kuwa tu juu
Ye akijam hunishow Joe to you
Si siri chile amenikoroga
The funny thing tulijuana Kwa mama mboga
Na sijui mimi ndio mboga ama yeye ndo mboga
Ikifika mechi si huichapa kama mboka

Amenikoroga, koroga amenikorogea maurogi
Si amenifanya niwe ka muguruki
Amenikoroga, koroga amenikorogea maurogi
Si amenifanya niwe ka muguruki
(musical interlude)



Credits
Writer(s): Joseph Juma, Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link