Tumeona Wengi

Tumeona Wengi by Joefes ft. Mr Tee, Lil Maina, Fathermoh
Tumeona wengi wakianza wakichinjiana
Sai wamekosana wanapost wezi rudiana
Mtandao si friendly Wako live wakianikana
Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana
Ati sasa hanipendi
Ati amecancel zile plan za wikendi
Vile ninawonder josh alipata kendy
Kijana sina kitu na anataka nishike fendy
Tuende photoshoot cbd alafu trending
Aaah aaah hii relation balaa
Anataka dollar na nimelala mala
Msichana stunner na nywele sijachana
Na sasa tumeachana juu jana nilichoma
Kwa live flani sikujua hapendi chali na majani
Na sikujua anapenda chali akiwa na gari
Na saa nimejua flag nyekundu ni hatari
Alinitoka na sikukua na habari
Tumeona wengi wakianza wakichinjiana
Sai wamekosana wanapost wezi rudiana
Mtandao si friendly Wako live wakianikana
Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana
Si tuko live tunaanikana lakini pale kitandani tunatandikana
Cheki, ye ako physically fit Niko lyrically sweet
Buda niko Ill nilimuacha akiheal
Msupa amebeba mabidhaa
Buda tunachonga tunatema magidhaa
Mrembo amekuja analia ako isaaa
Msupa mi sina mi sipendi kuringa
Manzi ameiva ni wa Filipino
Tumbo ka inauma basi meza ino
Manzi ananyesha na si Elnino
Na buda tunazoza na maAlbino
Tumeona wengi wakianza wakichinjiana
Sai wamekosana wanapost wezi rudiana
Mtandao si friendly Wako live wakianikana
Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana
Hata saa zile sidanganyi wasema mi nadanganya
Mschana mrembo lakini tabia mbaya
Nikisema nakuacha hakuna kitu mi nitafanya

Kwani ni mara ngapi utashinda umenikanya
Ati nahanya unanitukana kuchukua vitu ndo sasa twarudiana
Mara Tiana sijui Rihana unaskizaje na maskio zako ushazibana
Started with a friendly sai tuko bnb
Mambo yetu toxic I swear it's never ending
Sina hata plan B mambo yako crazy
Lakini narudi kwako kila saa kama mshenzi
Tumeona wengi wakianza wakichinjiana
Sai wamekosana wanapost wezi rudiana
Mtandao si friendly Wako live wakianikana
Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana
Team gwedhe tunashinda na side mirror
Huku tunapimana upishi wa Chapo sio sura
Huku unapigishwa ndeng'a inatolewa na makucha
Huku mapoko hawasimami pongi unaipata kwa duka
Hii nyama imebaki tu mafuta design mbona nikiita
Ukikosa kuitika nasema niko
Tei imezidi sita niko madimba
Ni tumbo zinafurishwa
Hapa Furaha ni nipe nikupe
Tei itushike zishike
Napenda sistako usijam
Niko na wangu pia siste
Nipe nikupe
Tei itushike zishike
Tuko njiani jaba akitemewa cost ajipe
Tumeona wengi wakianza wakichinjiana
Sai wamekosana wanapost wezi rudiana
Mtandao si friendly Wako live wakianikana
Sai Wanajifanya tunajua wanamissiana



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya, Moses Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link