Hekima Yako

Hekima yako, ikae nami
Na ufahamu wako, ukae nami
Hekima yako, ikae nami
Na ufahamu wako
Hekima ya MUNGU, haifanani na yawanadamu
Na ufahamu wake, haulingani nao Wanadamu
Kama Mbingu ilivyo juu, na njia zake ziko juu
Yeye uona vitu vikubwa vya mbele, tusivyo viona
Hekima yako, ikae nami
Na ufahamu wako, ukae nami
Hekima yako, ikae nami
Na ufahamu wako, ukae nami
Hekima yako ikikaa ndani, nitakuwa mwenye haki
Itanifanya nistawi, kama mtende wa Jangwani
Tena nistawi, kama mwelezi wa Lebanoni
Nistawi, ndani ya nyua zako
Nistawi yeiiyee, ndani ya nyua zako
Kama mti kando ya maji, nizae matunda, ooh
Hekima yako, ikae nami
Na ufahamu wako, ukae nami
Hekima yako, ikae nami
Na ufahamu wako, ukae nami
Wewe, ni faraja yangu tu, tena kimbilio langu
Nipitapo katikati ya maadui
Univusha kuniweka pazuri, nitumaini langu tu
Oooh, iyeeiii
Hekima yako (Hekima Yako)
Ikae nami (Ikae nami)
Na ufahamu wako (Ikae nami daima)
Ukae nami (Ikae nami)
Hekima yako (Ikae nami milele)
Ikae nami (Iniongoze)
Na ufahamu wako (Niwe ndani yake, iih)
Oouoh, Oouoh, hekima yako
Hekima yako (Hekima Yako)
Ikae nami (Hekima yako Baba)
Na ufahamu wako (Hekima yako, ooh)
Ukae nami (Hekima yako YESU)
Hekima yako (Hekima yako, ooh)
Ikae nami, na ufahamu wako
Ukae nami
Oouooo, oouoooo
Hekima yako (Hekima Yako)
Ikae nami (Ikae nami)
Na ufahamu wako (Ikae nami daima)
Ukae nami (Ikae nami)
Hekima yako (Ikae nami milele)
Ikae nami (Iniongoze)
Na ufahamu wako (Ooh, ye-ye-ye)
Ukae nami
Hekima yako, na ufahamu wako
Hekima yako, na ufahamu wako



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link