Mungu Wa Namna Hii

Mmhmmm, eeeh
Wanilinda usiku na mchana
Waniepusha na mitego ya mwovu
Dhamana ya maisha yangu
Imikononi mwako (Mwako)
Fadhili zako, hazihesabiki
Na upendo wako, hauna mipaka
Macho bado hayajaona, mwingine
Wakulinganishwa na wewe MUNGU
Mwenye upendo namna hii (Ai-yeh-yeh)
Mwenye upendo namna hii (Mi sijamwona)
MUNGU wa namna hii, wa namna hii (Ooh-oo)
Mimi sijamwona (Mi sijamwona)
Sijamwona
Mwenye upendo namna hii (Ah-oye-oye-oye)
Mwenye upendo namna hii (iih)
MUNGU wa namna hii (Wa namna hii)
Wa namna hii (Ooh)
Mimi sijamwona (Mi sijamwona)
Sijamwona (Aiyeiyee)
Oooh, ooh-eee
Mimi sijamwona
Yuko na mimi (Ouh-yeh-yeh)
Amenizingira (Ouh-yeh-yeh)
Pande zote, I'm highly protected
Sina mashaka, yuko ndani yangu
Huyu YESU, huyu YESU
Wewe ni njia, ya kweli na uzima
Glorious GOD and beautiful KING
Macho bado hayajaona, mwingine
Wakulinganishwa na wewe MUNGU
Mwenye upendo namna hii (Sijamwona, ai-yeh-yeh)
Mwenye upendo namna hii (Mi sijamwona)
MUNGU wa namna hii (Hayupo)
Wa namna hii (Ooh-oo)
Mimi sijamwona (Mi sijamwona)
Sijamwona (Kama yeye)
Mwenye upendo namna hii (Sijamwona, ah-oye-oye-oye-oye)
Mwenye upendo namna hii (iih)
MUNGU wa namna hii (Wa namna hii)
Wa namna hii (Ooh)
Mimi sijamwona (Mi sijamwona)
Sijamwona



Credits
Writer(s): Mathias Walichupa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link