Ya Mungu Ni Mengi (feat. Belyd)

Yaaaeeh!
Bonn Sirflow
(Na Belyd on the chorus)
WILL YA GOD RECORDS
Ahyyooo!

Vs1 (Bonn Sirflow)
We are back my people we are here still claiming the crown
Mlima tunapanda the hill is on we still climbing slow
Na Seal them all ma home KY2 ndio kingdom They are demanding ma songs
They hear my voice me wana shout true king ni take over the thrown
Kuwa kimya when u can speak na hiyo disease ina chock
I came back after whole the street wame confirm mi ni pro
Game's synchronizer na sync free u are aborting the process
They are saying these are sick bars and I even don't know what the cause is
Ya Mungu ni mengi there is always something that u have never seen
Nani alijua BO atakuwa Sirflow wasn't that a dream
Nili hunt it and I found it nashukuru coz now I can sing
To some of u ni sample tu Next what am I gonna bring
Sure!
Who leads the mission nyuma base wanaifunika nawafunuwa
Wanashangaa how niko na uwezo wa ku shoot bullets like this is to much
Escaping nani ata host them na find out ni will na uwezo wa God
Najuiliza (how come am on this mic?)
For real no one anaweza judge

Chrs (Belyd)
Sikujua nitafika hapaaa
Bila mungu singekuwa hapaaa
Hakuna aliejua hata
Nime amin bila yeye hakuna place una go

Sikujua nitafika hapa
Bila mungu singekuwa hapa
Hakuna aliejua hata
Thats why na say

Ya mungu ni mengi
Na say...
Ya mungu ni mengi
Thats why na

Vs2 (Bonn Sirflow)
(Tena siyo vile)
There is always something u have not seen
Acha zitimie
The Beginning for real this sounds like a dream
Mpaka tufike
Come on nani ulijua can you all believe that
Big G ana defend thank him men hujui ni wapi unaishia
(and that's why) Am still running nikisimama najificha
(sometimes) naona am surrounded nawaza ata kulalamika
Still napiganisha tu coz mi sija choka na maisha
If u complain eti siku value (sione nini amaanisha;
Time ina come you all wont know it's me mutanifananisha now
Oldies in this class new comer anadai kuwa teacher
Since young ages I guess hii ndio time bonn ali dream about
(So why una give up?) no one was born to loose or to be a winner
Ingekuwa ivyo ningefika na trophy time nilizaliwa
Ingekuwa ivyo ningefika when Loughing singe anza kuliya
Should I sit and relax those winning nao si walianza loose pia
Earth ni one we all hustle ni time yako haijafika
If ain't reach my dreams
I will reach my goals
If I ain't pull success to me
Who will bring it close for me
Na feel hata dube hakuwa lucky like me na finger si cross
Small is enough kama inaweza kuwa devided to all
Upcoming me si lines na write kilasiku ni day time
Blessed son coz I read na si forget na pray hard
If I ain't minding about you then hakuna busin tuna share
Time ya kutafuta I stand one nikipata kwanini tuna pair
Bonn

Chrs (Belyd)
Sikujua nitafika hapaaa
Bila mungu singekuwa hapaaa
Hakuna aliejua hata
Nime amin bila yeye hakuna place una go

Sikujua nitafika hapa
Bila mungu singekuwa hapa
Hakuna aliejua hata
That's why na say

Ya mungu Ni mengi
Na say
Ya mungu Ni Mengi
That's why na say
Ya Mungu ni Mengi
Na say
Ya Mungu Ni Mengi

Yaaaah!!
Ni Bonn Sirflow
WYG (Will Ya God's record)
Ahyoo!...
Na Belyd on the chorus
Ya Mungu Ni Mengi



Credits
Writer(s): Bonne Annee Deogratius
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link