Sitalia

Hiki kinywa changu
Na huu moyo wangu
Vimejawa na sifa zako
Ewe BWANA Mungu wangu

Yale umetenda kwangu
Sio siri, ya moyo wangu
Bali ni ushuhuda wa wazi
kwa mataifa yote

Acha niseme nieleze
Niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli
Wa maisha yangu

Acha niseme nieleze
Niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli
Wa maisha yangu

Hiki kinywa changu
Na huu moyo wangu
Vimejawa na sifa zako
Ewe BWANA Mungu wangu

Yale umetenda kwangu
Sio siri ya moyo wangu
Bali ni ushuhuda wa wazi
Kwa mataifa yote

Nikihesabu mambo ni mengi
Umenitendea
Hisani kubwa BWANA
Umenisaidia

Milimani na mabondeni
Ulinisaidia
Ahsante BWANA
Kwa neema ulonipatia

Nikihesabu mambo ni mengi
Umenitendea
Hisani kubwa BWANA
Umenifanyia

Milimani na mabondeni
Ulinisaidia
Ahsante BWANA
Kwa neema ulonipatia

Acha niseme nieleze
Niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli
Wa maisha yangu

Acha niseme nieleze
Niwaambie wajue
Ushuhuda wa kweli
Wa maisha yangu

Eeh yeiih eeh

Najua

Najua
Haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa

Hali hii ya sasa

Najua
Unatengeneza njia
Pasipo na njia

Pasipo na njia

Najua
Haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa

Hali hii ya sasa

Najua
Unatengeneza njia
Pasipo na njia

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Sitalia

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

sitalia

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Halaleya

Haleluya

Heey iiiih, uuh yeeeh

Najua
Haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa

Najua
Unatengeneza njia
Pasipo na njia

pasipo na njia

Najua
Haitabaki kama ilivyo
Hali hii ya sasa

hali hii ya sasa

Najua
Unatengeneza njia
Pasipo na njia

Usiku wa leo hutolia kili sema

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Sitalia

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Sitalia, Sitalia
Sasa yatosha,
Sasa yatosha
Nimejazwa nguvu mpya

Sitalia, yatosha, yatosha

Amenijaza nguvu mpya

Sitalia, yatosha, yatosha

Amenijaza nguvu mpya

Sitalia, yatosha, yatosha

Amenijaza nguvu mpya

Sitalia aah yeih, yatosha

Nimejazwa nguvu mpya

Haleluya, we worship you Lord



Credits
Writer(s): Neema Choir
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link