Umependa

SHIII BEBERUU

Nakugalamia kukuacha ndo siwezi
Nisha foll love kwanza na uchungu wa mapenzi
Na tukigombana kwanza natokwa na machozi
Oooh ukinicheet utanikuta na kitanzi

Jua aaa
Oooh moyo wangu kirema moyo wangu umependa
Moyo wangu kirema moyo wangu umependa
Dulla bass Moyo wangu kirema moyo wangu umependa
Ooh Moyo wangu kirema moyo wangu umependa

Haupangiwi moyo umempenda moyo wangu
Haurazimishwi moyo ameziteka isia zangu

Moyo una sifa na mamlaka ya kupenda unacho taka moyo ooh
Moyo moyoo utanuka upendo ata uu tupe dampo moyo ooh

Moyo moyo unaenda mbio
Moyo moyo wangu haukomi
Moyo ndo ivo sina salio
Moyo nilishe ata kwa ulimi

Oooh moyo wangu kirema moyo wangu umependa
Moyo wangu kirema moyo wangu umependa
Dulla bass Moyo wangu kirema moyo wangu umependa
Oooh Moyo wangu kirema moyo wangu umependa

Aya mama karia ugoko acha utoto miuno paka chongo hii baikoko
Karia ugoko acha utoto miuno paka chongo hii

Moyo una sifa na mamlaka ya kupenda unacho taka moyo ooh
Moyo moyoo utanuka upendo ata uu tupe dampo moyo ooh

Moyo moyo unaenda mbio
Moyo moyo wangu haukomi
Moyo ndo ivo sina salio
Moyo nilishe ata kwa ulimi

Kapaso kapaso kapaso apa genius from Tanzania

Credits
Writer(s): Jophrey Nikoluza A.k.a Kapaso Bkp
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link