Tuzitoke

Pasua mbili kachumbari ongezea pilipili haaaiyaa
Nimeleta mbogi si unipe discount ya mraia
Motura ni moto ukikula bigi utachomwa mbaiya
Haiyaa
Joint ya kilocal vibe pon vaibu nikufaiya

Alafu Sasa tuzitoke nani
Maji tunakata kama Mose nani
Haiyaa
Baraka ni Jose nani
Sifa ni za Mungu siku zote nani
Haiya

Zikinice tiffin tunashika flight
Tuko wapi mi na mbogi tupo site
Tuko na psych chaser itisha sprite
Alimada jug mbili na alisema ye ni nimshy
Hatukujudge Hapo tu hatukujudge
Keg ni ya Black haya bas ongeza jug
Njoti ya das ukidai ongeza bag
G bag na khat gbug na jug
Big G kwa Juala ya minji
Akibeba jaba mshow abebe mingi
Big G kwa Juala ya minji
Ukikuja base zisambaze ka injili

Alafu Sasa tuzitoke nani
Maji tunakata kama Mose nani
Haiyaa
Baraka ni Jose nani
Sifa ni za Mungu siku zote nani
Haiya

Misa kwa bukla twaifanya ka kanisa
Sponsor ni father madenge ni masisters
Sote ni sinners tunataka assistance
So jaza spirit nijaze spirit
Usijaze sana nikilewa sinaga siri
Na usidrive hata ka hunaga speedi
Na usinijudge si shule we si piri
I'm not special si we hudenki pia
Ongeza volume ongeza beer
Ukitext crush man usiseme dear
Ka ni kiatu usijali kanyagia
Manyoka zikipita si tunakanyagia

Alafu Sasa tuzitoke nani
Maji tunakata kama Mose nani
Haiyaa
Baraka ni Jose nani
Sifa ni za Mungu siku zote nani
Haiya



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link