Mambo Ya Taon

Unapata dame, haendi wear na analipa rent mambo ya taon
Akona ring light na laptop website ya kidesign mambo ya taon
Ati ni forex mambo ya taon
Mara ni writing, mambo ya taon
Huna ata ID, mambo ya taon
Mambo ya taon, tumejua hii mambo ya taon
Ati ni forex, mambo ya taon
Mara ni writing, mambo ya taon
Huna ata ID, mambo ya taon
Mambo ya taon, tumejua hii mambo ya taon

Gen Z, Gen Z, gen Z tumekam like this
Gen Z, Gen Z, gen Z hatupendi upuzi
Mkitunyima wera tunapiga wash wash
Wash wash yea, lazima mokosh kosh
Kosh the yeng adi na mapesco maescort ama si wale mapoko
1 bitcoin izo ni kama mamili hiyo ni coin ata sijataja mbili
Nifukie Kwa zone mi niliona mbili mbili
Na two plus two izo ni kaa mita mbili
Gen Z, gen Z, gen Z tunakam like this
Gen Z, gen Z, gen Z hatupendi upuzi
Gen Z, gen Z, gen Z tunakam like this
Gen Z,gen Z, gen Z hatupendi upuzi

Unatupigia story tunajua ni vako
We ni matako hatupendangi ushenzi Gen Z
Tunakuchuja kiGen Z
Maneno mingi sare vitenzi
Hii kanairo unachezea bubu game
Kula peke yako chini ya maji usituplay
Ukitugay siunajua tutakublame
Hakuna room, bill ikianguka na mfuko Iko down
Staajab ya Musa ushike ya Phiraon
Stakumbuka anguka nayo, vuka nayo mchezo ya taon

Gen Z, gen Z, gen Z tunakam like this
Gen Z, gen Z, gen Z hatupendi upuzi
Gen Z, gen Z, gen Z (bado ni writing huna ata ID)
Gen Z, gen Z, gen Z hatupendi upuzi
Unapata dame haendi wera na analipa rent mambo ya taon
Akona ring light na laptop website ya kidesign mambo ya taon
Ati ni forex mambo ya taon
Ati ni writing mambo ya taon
Huna ata ID mambo ya taon
Mambo ya taon Tumejua hii mambo ya taon

Gen Z, gen Z, gen Z tunakam like this
Gen Z, gen Z, gen Z hatupendi upuzi



Credits
Writer(s): Harry Otieno, Francis Ndereba Macharia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link