Mr President
Kazi ni kwetu na pesa ni kwao
Wanatudanganya wachana nao
Tumesota wamejaza mathao
Hatuna pesa na wako na salo
Hatuna foodie tunakula njaro
Masaa ya kura tunakula kwao
Mwenye kiti si fundi wa mbao
Ahadi nyingi walitupa wao
Lakini sasa wametusahau
Lakini sasa wametusahau
Lakini sasa wametusahau
Mr President every time you speak, Kenyans find a reason to go the streets
Niko na representatives watano lakini bado sauti yangu haikufikii
Tuliamka mapema ku vote lakini bado barabara ni mbaya
Sasa kazi ya KURA ni gani?
Mps wamelala the only time wanasimama ni wakitaka kiti
Watu wa Kileleshwa mlichagua Mca ama Influencer, everything he posts is Alai
Tulisema hatuoni ukifika 2027 sasa unatupiga risasi ya macho., aiiih
Sai tumeamka, unlike zamani Muslims pekee ndio walikuwa wanaswali
Accidents zinafanyika lakini president ajali
Wakenya wanalia na Mohammed Ali
Mr President my dead friends ndio unaita criminals
Under your Government we've seen it all
Protestor anapiga goon, polisi anapiga protestor
Guess nani anahepa na goods
Youths walikuvotia wanauliwa juu wanakuujliza "why you're not fulfiling the promises you made during your campaign?"
Bodies za university students zinapatwa kwa Kware imagine the parents pain
I don't know how it feels to be born in a rich family but I wish to ask my kids how it feels someday
Unatuita criminals but unatutafuta kwa hospitals, churches na shule uniform ni expensive si sare
Free education iliisha, large portion ya salary inaenda kwa school fees hio ingine pia tuna mwai ikibaki
Me ata ukinitafutia job uturuki sitaki
Mheshimiwa tulipea kiti sai hatuskiii, that's why we are standing up for ourselves
Ministers wanakuwa overpayed na madaktari hawalipwi while in hospitals ndio kuna working CS
Vijana hawana kazi
Kindiki, Murkomen na Duale wana treatiwa kama vyombo za wageni, hawatolewi kwa cabinet
National intelligence service hawako inteligent
Wakenya wako Hungary kila siku kuna influencer anaambiana buda paste
Serikali iko na mkono mrefu lakini NGOs ziko na Amref
Kenya Police wali change jina lakina bado wanatumia force
Mr President even if we don't go to the streets your guys will still come for us in our homes
Threat ya polisi ni kijana ako na flag, ukipatana nao you have to hide your flag
Or else youll become a hashtag
Mr President wewe ni teetotaler lakini projects zako zina drug
How do you expect to add votes na serikali yako ina torture minors
Office of the first lady imepewa budget ya 696 million na tumenyamaza tu
Kwani hamjaona kitu Hanifa amefanya na 30 million
Times have changed, viongozi wa kesho tumechoka kuchagua wezi wa jana
Wacha niachane na hii theme juu nkiendelea watani murder
Mna expect aje mwanafunzi kwao hawawezi afford unga ajibu maswali mboga
Graduates wanataka kuandikwa juu wako ubao
Tuna complain drought but mvua ikinyesha hatujengi boreholes na mnataka tu act like things are well
Mwananchi hana doh ya ku buy food na politician ni propaganda ana sell
Unatutaftia kazi diaspora na huko pia Kenyans wana protest
Ni husband aliomba loan NCBA si bibi apeleke mtoto shule
Cbc, gava wamemuongezea taxes, Cbd na Grade mtoi anapata
CB E was it worth the investment
Mr President we left the church because of people like you
You guys build churches but not hospitals and schools
When we ask for accountability, you call us anarchists
There are no jobs, our parents are complaining because all of us are artists
Hamwezi tu divide along our ethnic lines. Sai sisi si wa tribal si ni wa tribe all
Tujengeeni viwanja. masomo ikikataa vijana hu tri ball, ministry of sports iko na mchezo
Mr President wakenya wanauliza mbona tukuikasirisha huwa unaenda kutu report kwa watu wa Ushago, kwani wao ni polisi?
Wakenya wamechoka na waki protest wanashikwa wanapelekwa station wa take a rest
Si ni mang'ombe na mashida zinatuandama
Mwenye ameiba kidogo ndio tunaona ni the best, this has to change
Si ni nyama politicians ni masimba na Duale ndiye anatupeleka kwa a den
Kipchumba ako kwa rally anaambia vijana niiteni mahali muko men
Wanatuibia kimaksudi, huko online mwenye ako na more say "ni Kuria"
Tumelia njaa hadi mkono ya right imekuwa ya kupanguza machozi sio ya kulia
Gen Z wa apple na Uber wameleta shida kwa nyumba
Sai Kimani and his boss wametafuta Odm wagawane ii-chungwa
Tunakuambia u appoint tecnhocrats but news Just in zinasema Alfred ni mutu wa ministry of labour
Me I know kwa this government lazima kuwe na docket tu ya Chirchir
We don't want positions, we want a working system
Ukitaka ku deal na problem you cut the root system
Next time ukienda ku vote beba ID kwa mkono ya right na akili usi left

Credits
Writer(s): Austine Adhu Awiti
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.