Ujana

Bombocla-a-a-at
Kimambo
Yoh-yoh

Hivi ujana upoje? (ujana upoje?)
Ujana upoje? (ujana upoje?)
Hivi ujana upoje? Eh (ujana upoje)
Ujana upoje? (ujana upoje?)

Kuna muda naweka malengo
Nikizipata nimiliki mjengo
Niwekeze niwe na kitengo
Bosi nikifa niache pengo

Ila pisi izo, pisi izo, nikiziona moyo unadunda tena
(Pisi izo, pisi izo, nikiziona moyo unadunda tena)
Pombe izo, pombe izo, nikiziona moyo unadunda tena
(Pombe izo, pombe izo, nikiziona moyo unadunda tena)
Jamani moshi, uwo moshi uwo, nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi uwo, moshi uwo, nikiuona moyo unadunda tena)
Weh mikeka iyo mikeka iyo, nikiwaza moyo unadunda tena
(Mikeka iyo mikeka iyo, nikiwaza moyo unadunda tena)

Hivi ujana upoje? (ujana upoje?)
Ujana upoje? (ujana upoje?)
Hivi huu ujana upoje? Eh (ujana upoje)
Ujana upoje? (ujana upoje?)

Kitoto cha elfu mbili huko nyuma kilivyonawiri
(We' huogopi? Huogopi?)
Anataka twende mara mbili pekupeku bila kanda mbili
(We' huogopi? Huogopi?)
How can I keep my money?
Wenzangu wapo batani
Ujana kitu gani, mbona kila kitu natamani?

Pisi izo, pisi izo, nikiziona moyo unadunda tena
(Pisi izo, pisi izo, nikiziona moyo unadunda tena)
Pombe izo, pombe izo, nikiziona moyo unadunda tena
(Pombe izo, pombe izo, nikiziona moyo unadunda tena)
Jamani moshi uwo, moshi uwo, nikiuona moyo unadunda tena
(Moshi uwo, moshi uwo, nikiuona moyo unadunda tena)
Weh mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiwaza moyo unadunda tena
(Mikeka hiyo, mikeka hiyo, nikiwaza moyo unadunda tena)

Hivi ujana upoje? (ujana upoje?)
Ujana upoje? (ujana upoje?)
Hivi huu ujana upoje? Eh (ujana upoje?)
Ujana upoje? (ujana upoje?)

Vijana kuvawanowewaiyo (waiyo dubi dubi)
Vijana kuvawanowewaiyo (waiyo dubi dubi)
Ayo no mwana kuwanowewaiyo (waiyo dubi dubi)
Ayo no mwana kuwanowewaiyo (waiyo dubi dubi)

Jamani moshi uwo, moshi uwo
Nikiona moyo unadunda tena
(Moshi uwo, moshi uwo)
(Nikiona moyo unadunda tena) bomboclaat
The Mix killer



Credits
Writer(s): Rajabu Ibrahim Abdulkahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link