Mama

Nakushukuru sana mama
Mama Mama
Unanivimilia muda wote
Mama Mama
Nakushukuru sana mama
Mama Mama
Unanifunza kuishi nawatu vizuri
Mama mama

Aaaah!
Sijui muda ni gani coz now it's hard to realize what is
The meaning a parent au yule unae muita mzazi
Sijui ni dunia inaamua about it au it's we who decide it
Gen ya ma Zoomers hakuna control but again hii way ni high
Any time unaweza crush break in a minute you can be destroyed
Description ya hiyo una call life yako and everything u did in a second
Why niko apa na sijali hii oxygen na breath inaweza kata
Na count my clicks niwapi nita click first au last slow au faster
Pitiwa kidogo udelete hiyo folder G
Uli fold for all of your life sitaki wonder who the main destroyer is
Na Wonder what's getting me kuenda far
Yet am supposed to be coming closer
At a time wote tuli ishi cold life this time na sweat na hii jasho ina nichoma
Sometime si realize mimi ni nani
I try to hide it
I see clear when I begin to think mawazo inaenda mbali
Have been around many good people but ma earthly savior ni momy
Since I was born she you put smile on my face though am missing daddy
RIP...
Mama am a grown man now but you still care for me and i love it...
Growing up in a poor village when really having nothing
Still made us feel happy 9 kids 9 months
Na hiyo ni 81months!
What haven't u done huchoki giving us hope that something great is coming
23 years me now sija wai sikia una complain kwa ajili yetu sisi
Me niki fail a single mission tu nashika kiti
Level of your highness no one can really much it
First teacher ulinifunza not appriciating ni bad habit
(Life haikuwa easy)
THANKS Am sorry for all the pain I cause mama ila najitahidi
Najua u get hurt una hide una decide to move on
Nakuwa najua you think too much about me
Sikuwe na mean to do that
Bila wewe sai singekuwa!!!
Mama now i started doing music na try ku jituma
Na wale machali nilikwambia wananikimbia ila hiyo siyo issue coz wakweli watabakiya
Sija fika mbali na kuchoka sipendi hii ni track ya pili naachia
"Ya Mungu ni mengi" was the first Base mama i hope ulisha isikiya
Naamini uko happy na hi njia nimeshika ila bado naisoma dunia
Nakumbuka your words "HATERS HAWAKOSI EVEN IN CLEAN SPACE HAINA MAKOSA" nitashuhudia
Wewe ni beatiful black African queen and every part of me knows that
You will keep to be my home in my heart your name nime ichora

(Mama)
(Chrs)
Ulikazana mama
Ulipambana wewe
(Life haikuwa easy)
Huu wimbo nakuimbiya
shukrani zangu kwako weeeh
Mama
Mama eeeh mama
Mama weeeeeh
Mama
Mama eeeh mama
(Nani mwingine kama wewe)
Mama weeeeeh
(HAKUNA)

Mamma naona a lot of things zimegeuka upside down
Siju ni only mimi now kuna habits zimenifunga behind na ku escape ni tabu
Na some environments ku grow from nayo pia zina ni affect mentally
Ila parental advices zako nimezishika pale haupo naisoma Methali
Bcoz sitaki kuwa lost
Tabia za ku support matabia
Nime sit apa mda mrefu naona my fellow sons waki lost njia
Nime resist chupa ya bear
Japo haya maisha yana ni force
Ndoto yangu kubwa na try kuwa pilar kwa hawa siblings wana grow
But at least niko better siyo kama before
Siyo kama your son that time in class 4
That age popote nilipita nili destroy
I tried to obey the rules but niliweka kiburi in front
Nilikupa had time but you never get tired niliongeza uzuni in your soul
And now naweza cheka coz to be still alive ni kwa imani
Hata in pain kama wewe mwengine sikuona aliejali
Relatives are not strangers lakini wote walinioneya kwa umbali
Time zingine nili act wrong sababu ya evil behaviors za majirani
Ain't perfect though kuwasamehe na ku change nilisha kubali
Ningetamani ni run back in time ni rekebishe hayo yote... haiwezekani
Roho yangu ndani inafurai
Kila naona una smile
Every morning how did I sleep! ni wewe tu una mind
As now nasikia you can't forget to pray for your son every night
Me ni junior siwezi understand how hard na many battles una fight
Material things ni bure sina uwezo wa kalipa hata uki nidai
Your mother love haina substitute Is there anyone else is like u?
Una riski mengi una shikilia wote hata nakuwa kimya wewe ndio nguvu zangu
Una vumilia mengi shukrani sana kwa mungu wangu
Una Godly love
Najiuliza wewe ni mutu ama!!??
Wewe ni Angel from God anani bless through you mama

Ulikazana mama
Ulipambana wewe
Huu wimbo nakuimbiya
Shukrani zangu kwako weeeh
Mama
Mama eeeh mama
Mama weeeeeh!
Mama
Mama eeeh mama
Mama
Mama weeeeeh!

Ulikazana mama
(Oooh mama!)
Ulipambana wewe
(Mama weweeeh!)
Huu wimbo nakuimbiya
(Ooooh...!)
Shukrani zangu kwako weeeh
Mama
Mama eeeh mama
(Maa...!)
Mama weeeeeh!
Mama
Mama eeeh mama
(Mama)
Mama weeeeeh!
(Mama)

(Wewe ni mtu different)...SANA
Yaeh... ni Bonn Sirflow
Thanks mom who is like your mom...?
Kuna mwengine like her ku side yako? if yes! then pray and respect that person Ila on My side me... My mom is my first God
(Wewe ni mtu different)
THANKS TO ALL CARING MOMS OUT THERE
THANKS... AGAIN
(Wewe ni mtu different)



Credits
Writer(s): Bonneannee Deogratius.
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link