Simba Bonga

Na ma fan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Ma fan wanadai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga simba bonga
Na msupa anadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga

Sina mboga sima
Sima mboga sina
Si lazima dinner
Zima mpaka stima
Ita mama pima
Ka ni shamba lima
Chimba hii kisima
FIFA dimba buda mimba
Sneaker si timba
Rada ni bonga na simba ye
Jungle kwa Fever
Ambia Diva apewe njiva ye
Don ni Killer
Bonga mbaya utazimwa wewe
Hater alizima
Pizzo de

Na ma fan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Ma fan wanadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na ma fan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Ma fan wanadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga

Ukitaka utapata
Ukishindwa utakataa
Ukikatwa utashangaa
Oh craft ni which art
Eh art ni witchcraft
Donald trump kwa twitter
Daily ni vita tuko in suspense
Ka dress cord ya Larry King
Manjege kwa dance floor
Iende chain wajibambe
Credo machingli
Body mzima inalambwa
Na mabikra
Funga kalonzo na kamba
Waba nashower na mamba
Uhunye nani ndio mama
Rada ni kwamba Agwambo ni baba
Vitu Ka ground ni different coz
Ministry of sport iko na mchezo
Picha nachoma na menjoz
Ganji ma pesos gwanda benzo
Don don king king
Jon Jon mixing
Niko mangunga
Chunga kichungi rada kidungi

Na ma fan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Ma fan wanadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na ma fan wanadai
Simba bonga, simba bonga
Ma fan wanadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga
Na msupa anadai
Simba bonga simba bonga
Msupa anadai dai dai dai
Simba bonga simba bonga



Credits
Writer(s): Alan Mensah, Henry Onyango Ohanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link