This Far
Ooh yeah
Ooh yeah Ooh yeah ooh yeah yeah
Ooh yeah
It's Jomo, it's Jomonotics
Tuseme 1st year, ni masaa ya kuingia
Fresh from high school, green bila idea
2nd year, settling here and there
Dem dem, dem boy, boy boy, zoea
3rd year, stress inaingia
Mzazi hatumi pesa anymore, njaa inamia
4th year, ka' uko ready malizia
Uneza extend bora tu kugharamia
Najua miaka nne but why?
Tunamaliza mapema twende wapi?
Bro hakuna hata attacho 3rd year
Kazi yenyewe itapatikana!
Mzazi alinituma campus
Akitarajia NitaOMOKA after that
Na hii maisha inanibamba sana
Mchana niko daro na usiku naHave fun
Na ka' kuna kitu naFancy
Akili kichwani huwezi kuniibia
Mom mi' nasema asante
Mbali ndio kutoka na mbali ndio tunaenda
This Far, thank you Lord (thank you)
This Far, thank you Lord (thank you lord)
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord
Kuna mabeshte wa kuivisha fom
Na wale wa kutokea
Long holl ni ufala kwenda home
Such moments are rare
Ukienda unaMiss on a lot
Na ukirudi unapata manzi ashaMove on
Unalialia manzi yangu, mara chali yangu
Hizo shida ndogo hapa hatuSolve
Bro, we ' ngojea mafresha
Labda huko uneza angukia
Tuliza pressure
Na kwa life, make focus clear
Mzazi alinituma campus
Akitarajia NitaOMOKA after that
Na hii maisha si inanibamba sana
Mchana niko daro na usiku naHave fun
Na ka' kuna kitu naFancy
Akili kichwani huwezi kuniibia
Mom mi' nasema asante
Mbali ndio kutoka na mbali ndio tunaenda
This Far, thank you Lord (thank you)
This Far, thank you Lord (thank you lord)
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord (thank you)
This Far, thank you Lord (thank you lord)
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord
Ooh yeah Ooh yeah ooh yeah yeah
Ooh yeah
It's Jomo, it's Jomonotics
Tuseme 1st year, ni masaa ya kuingia
Fresh from high school, green bila idea
2nd year, settling here and there
Dem dem, dem boy, boy boy, zoea
3rd year, stress inaingia
Mzazi hatumi pesa anymore, njaa inamia
4th year, ka' uko ready malizia
Uneza extend bora tu kugharamia
Najua miaka nne but why?
Tunamaliza mapema twende wapi?
Bro hakuna hata attacho 3rd year
Kazi yenyewe itapatikana!
Mzazi alinituma campus
Akitarajia NitaOMOKA after that
Na hii maisha inanibamba sana
Mchana niko daro na usiku naHave fun
Na ka' kuna kitu naFancy
Akili kichwani huwezi kuniibia
Mom mi' nasema asante
Mbali ndio kutoka na mbali ndio tunaenda
This Far, thank you Lord (thank you)
This Far, thank you Lord (thank you lord)
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord
Kuna mabeshte wa kuivisha fom
Na wale wa kutokea
Long holl ni ufala kwenda home
Such moments are rare
Ukienda unaMiss on a lot
Na ukirudi unapata manzi ashaMove on
Unalialia manzi yangu, mara chali yangu
Hizo shida ndogo hapa hatuSolve
Bro, we ' ngojea mafresha
Labda huko uneza angukia
Tuliza pressure
Na kwa life, make focus clear
Mzazi alinituma campus
Akitarajia NitaOMOKA after that
Na hii maisha si inanibamba sana
Mchana niko daro na usiku naHave fun
Na ka' kuna kitu naFancy
Akili kichwani huwezi kuniibia
Mom mi' nasema asante
Mbali ndio kutoka na mbali ndio tunaenda
This Far, thank you Lord (thank you)
This Far, thank you Lord (thank you lord)
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord (thank you)
This Far, thank you Lord (thank you lord)
This Far, thank you Lord
This Far, thank you Lord
Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.