Tipsy

Anasema ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha
Ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha

Whine again whine again pewa toti moja
Godha whine again
Whine again whine again pewa toti moja
Godha whine again
Korobosta shola zimeriet location tuko roasters
Clamor juu ya beat ukinifeature nakuosha
Ka denge ni peng kando yangu ni makosha
Nikiita ikiring anapick haezi kosa
Busy body eeh physically eeh
Niko na viti kuja uzikalie
Ongeza rorie na ka uko kiti
Nije niikalie

Anasema ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha
Ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha

Unaringa na hauna haga ya vera sidika
Mi ni gen z kwangu mumama ndo wangu rika
Nakupea shots huko chini mi nasinyika
Unatetema tetema terengetika
Juu ya chora saba saba tuandamane
Kwa Haga tusifanane sura ukae poa
Simple girl zii nadai barbie
Ati unanyesha mi nasaka dem Dubai
Leta lolote na chochote wote si tubuy
Nadai gazibo ye akiwa na kicho
Nazama tu hivo juu napenda Shiko
Ko ko sio Shiro mashiro sio Shiro
Joh napendaga raw

Anasema ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha
Ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha

Come verify this style ni za maisaa
Level of education naeza kuambia maisaa
Copy this copy that alafu niko na idha
Mimi nyege ikiniwasha naenda kwa neighbor
Anataka zote zote hataki makali na chase
Lete mzinga zote zote hadi zingine anaguess
Zingine na mabei zingine ameshika na huku base
Saa zingine ana bae
Saa zingine hukunywa mpaka madem
Leta ku bora Ameiva naeza kula
Leta spoon hapa nikuchapa mpaka ilale
Later noon hadi akitoka anasema
Unaona mi nitado?

Anasema ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha
Ako tipsy anachachisha
Ameshika boti kiuno anazungusha
Ako tipsy anaitisha
Ameshika goti tete anazirusha

Whine again whine again pewa toti moja
Whine again whine again pewa toti moja
Godha whine again



Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya, Moses Otieno, Tony Kinyanjui
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link