Moto

Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea

Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea

Leo moto umewaka, niko najilia vitu vyangu utantakaa!
Leo moto umewaka, mtanisamehe majirani zangu utantakaa!
Leo moto umewaka, Dj anagonga vitu vyangu utantakaa!
Leo moto umewaka, Dj anagonga vitu vyangu utantakaa!

Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea

Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea moto
Wameuchochea

Eeenheeeee Hiyo Ndo Yenyewe Sasa
Eeenheeeeeeee hiyo ndo yenyewe sasa
Eeenheeeee Hiyo Ndo Yenyewe Sasa
Eeenheeeeeeee hiyo ndo yenyewe sasa

Ladies you wanna have some fun (yeah, we wanna have some fun)

Mziki ukizima tunaondoka na bili na hatulipi
Huo mziki ukizima tunaondoka na bili na hatulipi
Mziki ukizima tunaondoka na bili na hatulipi
Huo mziki ukizima tunaondoka na bili na hatulipi

Tunaondoka na bili (na hatulipi)
Jamani bili (na hatulipi)
Tunaondoka na bili (na hatulipi)
Jama bili (na hatulipi)

Credits
Writer(s): Abdul Juma Idd, Lugendo Zubery
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link