Tajiri

Nilikupigia simu, chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu, n'takulaje bata
We' ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata

Halo, halo, halo, halo
Halo, halo, halo, halo
Hehe, love bite
LG my G (Mr LG)

Afadhali (nimekuona)
Afadhali (tumeonana)
Afadhali (nimekuona)
Afadhali (tumeonana)

Nilikaa kinyonge sana (tajiri, huna adui, tajiri)
Wacha niagize pombe nyama (tajiri, huna adui, tajiri)
Eh, na bebe ziletee Savana (tajiri, huna adui, tajiri)
Tajiri atalipa bwana (tajiri, huna adui) eh-he, (tajiri)

Nilikupigia simu, chaji ikakata
Nikakutilia timu mjengoni sijakupata
Akili ikaruka wazimu, n'takulaje bata
We' ni mtu muhimu nikiwa nawe najipata

Halo, halo, halo, halo
Halo, halo, halo, halo

Tih kwanza hunaga mapozi (hauna mbambamba)
Wala hunaga mamluki (hauna mbambamba)
Haki ya Mungu ukifa hauozi (hauna mbambamba)
Na ukioza haunuki

Tulikaa kinyonge sana (tajiri, huna adui, tajiri)
Wacha tuagize pombe nyama (tajiri, huna adui, tajiri)
He, wanangu wazimike jama (tajiri, huna adui, tajiri)
Tajiri atalipa bwana (tajiri, huna adui) eh-he, (tajiri)

'Asa mwaga noti mwaga (mwaga)
Tajiri mwaga (mwaga)
'Asa mwaga noti mwaga (mwaga)
Tajiri mwaga (mwaga)
Eh, mwaga noti mwaga (mwaga)
Nasema mwaga (mwaga)
Eh-he Mwaga (mwaga)
Jamani mwaga (mwaga)

L-G, L-G, L-G, L-L-G
Shabash
Kamix Lizer



Credits
Writer(s): Idd Abdul Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link