Ndonga

Dua hilo katisha
Ety mvua isinyeshe
Hiki kihali
Kipite mbali tulia acha mapepe
Anapepea mtima
Hapa nangoja nideke
Kwambali zumari
Kombe la chai
Yani walete walete
Ety anacheza mkomboti wacha widuu
Na uno analikata yani mudo modogo
Macho legeza
Malaini kama mwiduh
Najichezea karata
Nywele tozi la kcongo
Ooh mimi sa napagawa changanywa
Naumia ndonga
Oh anavyonichanganyia uhondo
Naumia ndonga
Oh mimi hata sina la kufanya
Naumia ndonga
Ooh anavyonichanganyia uhondo
Naumia ndonga
Oh bad bad bad
Hili mziki subwoofer
Fujo zote humu ndani
Nawapigia kelele
Mnisamehe majirani
Tumeziba ukuta
Ndani raha rubudani
Nae ndo boss naleo yupo na mie chawa mh
Oh baby changanya utosi
Mchanganye dullah
Au niwe kivurande
Oh baby changanya utosi
Mchanganye dullah
Nalo penzi litutande
Wakati tunataka kula
Oh baby sa napagawa changanywa
Naumia ndonga
Oh anavonizidishia uhondo
Naumia ndonga
Ah Oh baby ata sina la kufanya
Naumia ndonga
Oooh anavyonichanganyia uhondo
Naumia ndonga
Oh bad bad bad
Oeeeeh
Musa babaz wa babaz
Oh mama Jay
Oooh
Oh mama



Credits
Writer(s): Sharif Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link