Rusha

Kama Unakuja Kuja
Kama Unamuja Muja
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa
Niko Juu Ya Gunga
Nilisare Aluta
Niko Juu Ya Gunga 247 Mi Na Purura
Njumi Ni Tiki Tiki
Niliasare Mapuma
Mi Nko Busy
Sina Time Ya Kuzurura

Hop Ndani Ya Gene Full Speed Si Tunazidi
Hop Ndani Ya Stu Mi Na Lee Tunaunda Mziki
Hii Ndio Winning Team
On Top Kwa Ligi
Sprite Na Bennylean Ndani Ya Gut Naskia Tifi
Kama Unakuja Kuja
Kama Unamuja Muja
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa

Talkin To Your Girl Nika Nimefinya Mapua
Vile Nacheki We Bitch Hata We Unajua
Hata Huyo Msupa Anajua
Hata Huyu Msee Anajua
Hata Ule Msee Anajua
Uhh
Kila Msee Anajua
Uh
Mbogi Ni Ndogo Ka Mapua
Get Off My Dick Kama Sure
Uhh
And Go Ahead And Check Your Self Buda Unaeza Jisukasua
Ati Akili Hukuwanga Nywele Buda Nashuka Matuta
Shawty Hujuanga Nakuwa Na Drip Boeyylee Hukuanga Mbuta
Uhh
Ganji Nakunja Nasunda
Mali Nakula Na Uma
Nikitokea Kwa Feature Nashine
Boeyylee Hukuwanga Jua
Hata Huyu Msee Anajua
Hata Ule Msee Anajua
Cheki Ule Pale Anajua
Kila Msee Anajua
Uhh

Kama Unakuja Kuja
Kama Unamuja Muja
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa
Kama Unakuja Kuja
Kama Unamuja Muja
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Rusha
Kama Unarusha Pia Mi Narusha
Nakuvunja Mfupa
Kama Unarusha Pia Mi narusha
Nakuvunja Mfupa



Credits
Writer(s): Bryan Charles Maikuri, Jairus Machoka Ogongo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link