APA STOKI

Nurul Einnnn Nakesha nawe mpaka ukuwe mine (Aki Walae)
Mpaka ukuwe mine ah (aki walae)

Nakesha naye na ngamia haichoki
Anfungia thighs mama mi atanchoke
Na kwamia ndani apa mi ata stoki
Baby I'm jogging
Aki usinchoke

APA stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Walae APA mi Stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Aki Walae mi stoki

Say Oooouuh Ah
This one for me
Medusa mi upenda ukitingisha your body baby
Kwanza nimekuonea 18
Mangosti mbaya mbaya kwenye floor siunachafua scene
Huwezi kuniita msanii
Hawa hawniwezi na hatufananii Mbaiibee
Hatubanji Sana ni za ndanii
Najua kuweka Siri we niwekee ndani

Nakesha naye na ngamia haichoki
Anfungia thighs mama mi atanchoke
Na kwamia ndani apa mi ata stoki
Baby I'm jogging
Aki usinchoke

APA stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Walae APA mi Stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Aki Walae mi stoki

NamZubaa si ni venye Amekaa
Juu ya bidhaa ni balaa amketi venye inafaaa aki wa
Ndani Gizani apo kejani mizani ndani ya nissan
Tukizied hii hainaga return nataka
Useti fiti Juu ya kiti
Najitambua kijiti haijawai nsaliti
Nadai wafue sheets Ntaibeat
Nashinda kuwadefeat na
Paka ni yako na mimi ndo mwenyekiti

Nakesha naye na ngamia haichoki
Anfungia thighs mama mi atanchoke
Na kwamia ndani apa mi ata stoki
Baby I'm jogging
Aki usinchoke

APA stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Walae APA mi Stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Aki Walae mi stoki

Say Oooouuh Ah
This one for me
Medusa mi upenda ukitingisha your body baby
Kwanza nimekuonea 18
Mangosti mbaya mbaya kwenye floor siunachafua scene
Huwezi kuniita msanii
Hawa hawniwezi na hatufananii Mbaiibee
Hatubanji Sana ni za ndanii
Najua kuweka Siri we niwekee ndani

APA stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Walae APA mi Stoki stoki stoki
APA mi stoki stoki stoki
Naipigia moshi smoke smoke
Mpaka inichoke choke choke
Aki Walae mi stoki



Credits
Writer(s): Christopher Githara
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link