Kariakoo

Heheh love bite
Eenh eeeh pablo kaligusa penyewe

Kalia siti kalia
Kalia si umetaka lifti kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia si umetaka lift kalia
Kalia kiti kalia
Kalia chombo imesimama kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia chombo imesimama kalia

Tukupeleke mujini
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo

Pablo kasimama, kasimama dede
Pablo kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama de de de

Karibu mgeni karibu, pita ndani (pita ndani)
Kama sebuleni kwako aibu
Basi njoo chumbani (njoo chumbani wewe)
Waliniambia unatoka buza we wa mtaa gani
Eenh ukae kwa jamvi ukalie kigogo au kibarazani
Karibu sana

Kalia siti kalia
Kalia si umetaka lifti kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia si umetaka lift kalia
Kalia kiti kalia
Kalia chombo imesimama kalia
Kaliaaaa aaah kalia
Kalia chombo imesimama kalia

Tukupeleke mujini
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo
Karia kariakoo karia kariakoo

Pablo kasimama, kasimama dede
Pablo kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama dede
Ninja kasimama, kasimama de de de



Credits
Writer(s): Abdul Juma Idd, Lugendo Zubery
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link