Tupendane

Please ooh baby pause, show me what your waist can do (waist can do)
Nipe overdose, ni season ya weather for two(weather for two)

Please ooh baby pause show me what your waist can do(waist can do)
Nipe overdose, ni season ya weather for two

Ni our season
Tupendane
Mwaka tuufunge kwa upendo sigombane
Tupige Sheree na tukumbukane
Hayo ndo mapenzi
Tupendane
Hayo ndo mapenzi

Hayo ndo mapenzi
Tupendane
Hayo ndo mapenzi

Baishoo, baisho, baisho
Njoo ucheze na mimi baishoo
Baishoo baishoo

Don't gimme a distance
In my eyes it is you I see
Jay Z you my Beyonce
If I leave you I swear that's a sin

Falling, ooh baby falling
If you falling, fall for me
Baby falling
Oooh baby, falling coz you my love

Ni our season
Tupendane
Mwaka tuufunge kwa upendo sigombane
Tupige Sheree na tukumbukane
Hayo ndo mapenzi
Tupendane
Hayo ndo mapenzi

Hayo ndo mapenzi
Tupendane
Hayo ndo mapenzi

Niko na kasupuu karembo, kana utamu
Tena kananipa tabasamu, kananipa hamu hamu
Ma baby nikipataga madoo NI yako zamu
Twende Mombasa, malindi, kilifi ama lamu

She was my bestie before
Sai tunapeanaga four by four
Jinsi umeniweza totoo
Kwako nimekufa nimelala fofoo

Nalishwa vinono sina stress
Napenda ukiniita my wangu
Nobody can love you the way I do

Ni our season
Tupendane
Mwaka tuufunge kwa upendo sigombane
Tupige Sheree na tukumbukane
Hayo ndo mapenzi
Tupendane
Hayo ndo mapenzi

Hayo ndo mapenzi
Tupendane
Hayo ndo mapenzi

Please ooh baby pause, show me what your waist can do
Nipe overdose, ni season ya weather for two



Credits
Writer(s): Maxwell Otieno Omondi, Kelvin Athumani Yalibi, Meltas Javan Juma, Julius Baya Charo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link