Sensema

(Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa)
(Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa)
(S2kizzy baby) yao, yao
(Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa) Chui
(Aye, iya-ya, ya-yee, ya-yaaa)
Kondeboy, call me number one

Sensema malunde
Sensema, sensema (okay)
Sensema malunde
Sensema, sensema

Sensema malunde
Sensema, sensema (yeah)
Sensema malunde
Sensema, sensema

We' DJ, ongeza sauti, kudadeki
Niko na shemeji yako
Nyuma kama Pick-up imepigwa jeki
Yani we' DJ, eh, ongeza sauti, kudadeki
A'fu tuzimie taa
Tushike viuno vyenye sketi, eh

Hakunaga mwaisa mshamba
Hakunaga mwaisa mshamba
Kazi kazi, macho kwa mikwanja
Kazi kazi, macho kwa mikwanja, eh

Bwana asifiwe (amen)
Milele na milele (amen)
Shetani akipita
Teke, teke, teke, kule

Bwana asifiwe (amen)
Milele na milele (amen)
Shetani akipita
Teke, teke, teke, kule

Ukipendwa, safi
Ukiachwa, mbaya iyo
Ukipata noti, safi
Ukifilisika, mbaya iyo

Ah, mikopo, safi
Ila kulipa, mbaya iyo
Eh! Ku-cheat, safi
Ukifumaniwa, mbaya iyo

Sensema malunde
Sensema, sensema (okay)
Sensema malunde
Sensema, sensema

Sensema malunde
Sensema, sensema (yao, yao)
Sensema malunde
Sensema, sensema

Kondeboy, call me number one
Sensema malunde
Sensema, sensema (bomboclaat)

Oh, my gosh
Mbona kama ndani hapatoshi
Mitungi changanya mimoshi
Ah, Konde kadondoka na Posh
Hamjasema mpaka mseme, na mtasema
Hamjasema mpaka mseme, na mtasema

Bwana asifiwe (amen)
Milele na milele (amen)
Ex akipita
Teke, teke, teke, kule

Bwana asifiwe (amen)
Milele na milele
Mange Kimambi akipita
Teke, teke, teke, kule

Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguy opa chalidu chilaa
Vanamahako twende kwalidu kula
Nikatamwa nguy opa chalidu chilaa

Wazee wa kuchati, safi
Ila ukiwa umelewa, mbaya iyo
Kila bebe inapenda gongo! Safi
Ila likipakazwa mkongo! Mbaya iyo

Hakuna mmakonde mshamba
Hakuna mmakonde mshamba
Kazi kazi, macho kwa mikwanja
Kazi kazi, macho kwa mikwanja

Hakuna mmachinga mshamba
Hakuna mmachinga mshamba
Kazi kazi, macho kwa mikwanja
Kazi kazi, macho kwa mikwanja (Jeshi)

Sensema malunde
Sensema, sensema (okay)
Sensema malunde
Sensema, sensema

Sensema malunde
Sensema, sensema (yeah)
Sensema malunde
Sensema, sensema

Yii
Ama-ma-mapiano
Eh, mm, piano, eh
Ama-ma-mapiano
Eh, mm, piano, eh
Ama-ma-mapiano
Mm, eh, piano
Ama-ma-mapiano
Ayi, piano, eh

(Remixkiller)



Credits
Writer(s): Salmin Maengo, Raymond Mwakyusa, Rajabu Kahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link