Full Tym Freestyle

Young Vlone - Full Tym Freestyle
Adi m nashanga m n nani m ni nani
Yo Skiza

Manadriler how is it been yeah
Ka n bitch mm na finya
Na staki kuskia ujinga upuzi bandia
Nakata masnitch yeah
Sina mbogi na bado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika
Sina mbogi nabado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika

Jina n huu Muktadha n huu
TRAPPER TRAPPER DRILLER kwa booth
Am a young lil Rapper the GURU of Hooks
GURU of Rap the BOOGEYMAN tu
The one on the mic that they calling Goon
Aty sina mamoods na MURDER your BEAT
Kama tabu tuna vunja marules
Kama unaBeef ntakukulia your boo
Full Tym what, am the Full Tym G.O.A.T
Sina muda ya kuwaste na maopps
N Young Vlone and am back with the BOMBS
Wanathani n PALMER juu ya vile na SCORE
Mabombo wanagoja n fall kama shonde kwa Choo
We ndio shonde kwa Choo
Siri n ya mm na GOD
Sio Siri na muamini GOD
Inshallah ninatoka kwa block
Ndani ya BIMA ndio mm ntaBall
Luku n ya Luivi na Vlone
Na Label n ya LYJOS my bros
Aty Kempisky n peleke hoe
Heri nikunywe County Kaa soo
Ka ni beb nampeleka BAZE
Chapo Cabbage yaani budget ya soo
Campus life itabidi umenow
My baby my Boo m sio buda wa you
Campus life itabidi umenow
My baby my Boo m sio buda wa you
Utabonga useme Niko rude
Lakini my Boo mm sio buda WA yo
Utabonga useme niko rude lakini my Boo

Manadriler how is it been yeah
Ka n bitch mm na finya
Na staki kuskia ujinga upuzi bandia
Nakata masnitch yeah
Sina mbogi na bado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika
Sina mbogi nabado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika

Kiurambo Kanambo
Na come na WA HUMBLE
Na Bila kuSTRUGGLE na DOUBLE hio TROUBLE
Skiza makini m siboy unaeza HANDLE
Infact mm s boy mm nina TITLE yeah
Naskia mnasaka ma ICON
Welcome to LYJOS Label ya maICON
Si ndio maDon tunafunga hiyo BATTLE
Mimi ndio Don Nina humble Ur Idle

Manadriler how is it been yeah
Ka n bitch mm na finya
Na staki kuskia ujinga upuzi bandia
Nakata masnitch yeah
Sina mbogi na bado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika
Sina mbogi nabado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika
Manadriler how is it been yeah
Ka n bitch mm na finya
Na staki kuskia ujinga upuzi bandia
Nakata masnitch yeah
Sina mbogi na bado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika
Sina mbogi nabado naivisha
Ten Toes down hamwezi nishika

Yo Big up to Purple G's Motivation to this song Yeah
Ni Young Vlone Introducing my new Label
LYJOS on the



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link