Mama

Heh! Zuchu, Chu, Chu, Chu
Gogu (Ayo Lizer)

Mmh, rafiki yangu kwenye shida, rafiki yangu kwenye raha
Niko naye kila mida, hajawahi nikataa
Yuko radhi mi kushiba, yeye ndo ashinde njaa
Sio mwengine ni mama
Labda nikupe picha
Uone nafasi yako maana
Nikikukosa kwenye maisha
Eh-eh, kiukweli itanichanganya, eh-eh-eh

Mitihani
Yake yangu mimi
Nikulipe nini
Kiasi gani mi sioni, oh, mama

Mama, I love you, mama
Mama, nakupenda sana
Mama, I love you, mama
Mama, nakupenda sana

Mmh, ee Mola uliyejaa rehema natanguliza shukrani (asante)
Bila huyu mama mwema ningekuwa mgeni wa nani (asante)
Mnaowavunjia heshima nyie mnawezaje kwani
Mimi wangu akinuna, moyo unakosa amani

Mitihani
Yake yangu mimi
Nikulipe nini
Kiasi gani mi sioni, oh, mama

Mama, I love you, mama
Mama, nakupenda sana
Mama, I love you, mama
Mama, nakupenda sana

Hey, mamangu njoo tucheze kandili (kandili katikatikati katikati)
Cheza kandili (kandili katikatikati katikati)
Tingisha kiwiliwili (kandili katikatikati katikati)
Kakaka (kandili kati)



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link