NIACHE NIFURAHI

Mmh mmh Mega Bravos here, Mega B

(barakis on the mix)

A lot of things have been said about me
Though I don't care

Nini unakimbiza
Ni nini unakimbiza
Wengi wanataka nianguke
Ndo ili wao waburudike

Wengi wanataka nianguke
Ndo ili wao waburudike
Ndo ili wao waburudike
Ila mungu, mungu, mungu

Ila mungu, mungu, mungu
Say aah
Ayo yo
Eee

Wambie
Acha nifurai
Say aah
Ayo ya

Niache nijidai
Aah
Eee
Niache nifurai

Niache
Niache nifurai
Niache
Niache

Niache nifurai
Mi si mwenye bidii najua
Tena si mzuri kuliko wao
Ila mahali nimefika

Its by God's grace and mercy
Naongeza pia na maombi
Sina connection kama wao
Mi sina mali kama wao

Ila usingizi hawalali
Wanashindana nami
Wata-back fire, fire, fire
Wata-back fire

Alalalalalalalala
Eee
Mmm
Wata-back fire

Wata-back fire
Say aah
Ayo yo
Eee

Wambie
Acha nifurai
Say aah
Ayo ya

Niache nijidai
Aah
Eee
Niache nifurai

Niache
Niache nifurai
Niache
Niache

Niache nifurai
Niache nifurai
Mungu Yu nami
Niache

Niache
Niache
Niache nicheze
Kwa raha zangu

Mungu Yu nami
Niache
Niache
Niache nifura

Niache
Niache nifurai



Credits
Writer(s): Bravin Siko
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link