Dounia

Sakana Mama, Keba na la vie
Basala Kala Basuka na finale
Sakana Mama, Keba na la vie
Basala Kala Basuka na finale

Oooh Mwanangu Dunia ina mambo
Sikia maneno nakuambiaga
Mpe Roho yakoo Mola wako
Heshima kwa wazazi eeh mwanangu

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Chunga mwenzio atakudanganya
Kwa yoyote ile atapenda yeye
Kipenda rohoo Kila mtu na yake
Yake ni yake na yako ni yakoo

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Mwendo wa kobee
Mayelemayele
Mwendo wa chui
Kuwindawinda

Mwendo wa nyoka
Lukumbalukumba
Mwendo wa ngalama
Kwa njia ya paradii

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Taabu na raha ina kungojea
Inategemea akili yako
Tafuta eeh... Utapata eeh
Kumbuka maneno nakuambiaga

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Chunga mwenzio atakudanganya
Kwa yoyote ile atapenda yeye
Kipenda Roho Kila mtu na yake
Yake ni yake na yako ni yakoo

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Taabu na raha ina kungojea
Inategemea akili yako
Tafuta eeh... Utapata eeh
Kumbuka maneno nakuambiaga

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Dunia hii mama
Lukumba lukumba
Dunia ina mambo
Mwendo wa ngamia

Sakana Mama, Keba na la vie
Basala Kala Basuka na finale
Sakana Mama, Keba na la vie
Basala Kala Basuka na finale



Credits
Writer(s): Lawi Son
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link