Kujituliza Kasuku

Najituliza kwake kasuku ee (oooo)
Hataki maneno, hataki maneno
Anachopata kinamtosha (yo ooo)
Hataki mataka, hataki mataka
Naomba Mungu amsaidie (yo ooo)
Daima milele, aaaaaa Kasuku eee.
Najituliza kwake kasuku ee (oooo)
Hataki maneno, hataki maneno
Anachopata kinamtosha (yo ooo)
Hataki mataka, hataki mataka
Naomba Mungu amsaidie (yo ooo)
Daima milele, aaaaaa Kasuku eee.
Najituliza kwake kasuku ee (oooo)
Hataki maneno, hataki maneno
Anachopata kinamtosha (yo ooo)
Hataki mataka, hataki mataka
Naomba Mungu amsaidie (yo ooo)
Daima milele, aaaaaa Kasuku eee.(Aa Kasuku baba)
Hataki maneno, hataki maneno
Anachopata kinamtosha (yo ooo)
Hataki mataka, hataki mataka
Naomba Mungu amsaidie (yo ooo)
Daima milele, aaaaaa Kasuku eee.
Najituliza kwake kasuku ee (oooo)
Hataki maneno, hataki maneno
Anachopata kinamtosha (yo ooo)
Hataki mataka, hataki mataka
Naomba Mungu amsaidie (yo ooo)
Daima milele, aaaaaa Kasuku eee.(Huyooo)
Le le le le le ooooo
Les Wanyika, twakuombe
Baraka njema
Uendelee eeeeee
Kasuku mwana, ooooooo
Le le le le le ooooooo
Les Wanyika
Twakuombea
Baraka njema
Uendelee eee
Kasuku mwana aaaa
Uendelee eeee
Kasuku mwana aaaa
Uendelee eeee
Kasuku mwana(Wewe)



Credits
Writer(s): John Ngereza, Issa Juma, Omar Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link