Mapenzi Sumu

usinione kimya kimya wee
ukazan sina akili wewe
vituko vyako dada wee
vinanifanya nikonde miee
simu ikipigwa unaenda pokelea bafun
nikikuliza ni nan ata jibu cpewi
apo ukitoka kurud usiku wa manane

lakin leo inabid niseme ukwel
kama ni mapenzi yamekuwa mkuki moyon

nimevumulia sana weee
kwakuzan utabadirika
nilikuamin sana mama wee
sikuzani utanitenda ivi
kama kukupenda nilipenda kuzid kipimo
bila kujal maneno watu wasemao
lakin ayo yote kwako hayana uzito

weee mapenzi sumu wee
aya mapenzi sumu



Credits
Writer(s): Jasse Joonatan Merivirta, Ahmed Mohamed Kakoyi, Sampo Juhani Neuvonen, Sami Kristian Lindroos
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link