Nimaru

Aaaaaaaa... Nimaru mtoto wa Tanga

Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...

Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama...

Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo,
Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa

Ooooo Nimaru mama ee, Nimaru mama, Nimaru bibi...
Ooooo usilie mama ee, usilie mama, ninarudi TZ...
Ooooo nitarudi bibi ee, nikuone mama, tufurahi pamoja...
Ooooo nifurahi nawe oooooooo...

Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...

Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...

Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama...

Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...

Sheri ee usilie mwana mama ee, najua wanipenda Nimaru mama ee, sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee,
Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee...

Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo,
Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa

Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama...

Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo, sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo,
Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo, lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa

Ooooooo mwanamama oooo, Oooooooo mwanamama...

Credits
Writer(s): John Ngereza, Issa Juma, Omar Shabani
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link