Nyama Choma

Mwana mapangale eeh tukupatie nyama choma eeh (kila mutu mikoni juu)
Mwana mapangale eeh tukupatie kachumbali oooh
Tuko njiani tunakuja yoyoyo
Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah
Tunawaletea muchezo wetu mupya aah
Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah
Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh
Yanapunguza mawazo eh

Tuko njiani tunakuja yoyoyo
Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah
Tunawaletea muchezo wetu mupya aah
Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah
Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh
Yanapunguza mawazo eh

Nairobi Mombasa Kakamega Kisumu
Kisii Bungoma (eeh)
Nakuru Malindi (eeh)
Kirifi Meru (eeh)
Namanga Masaku (eeh)
Daresalaameeh
Mwanza Arusha Musoma Iringa
Mbeya Dodoma Moshi Tanga
Shinyanga Zanzibareeh

Nairobi Mombasa Kakamega Kisumu
Kisii Bungoma
Nakuru Malindi (eeh)
Kirifi Meru (eeh)
Namanga Masaku (eeh)
Daresalaame eeh eeh
Mwanza Arusha Musoma Iringa
Mbeya Dodoma Moshi Tanga
Shinyanga Zanzibare eeh eeh

Tuko njiani tunakuja yoyoyo
Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah
Tunawaletea muchezo wetu mupya aah
Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah
Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh
Yanapunguza mawazo eh

Tuko njiani tunakuja yoyoyo
Tuko njiani tunaimba aaa aaa aaah
Tunawaletea muchezo wetu mupya aah
Tunawaletea nyimbo zetu mupya aah
Nyimbo ni sabuni ya roho oh oh
Yanapunguza mawazo eh

Kampala Mbale Mbalala Masaka
Totoro Kabale Harua Jinja
Basebo na Banyabo
Lazima tupendane
Kasese Entebbe

Lubumbashi Lingasi Keleli Lukamo
Kaleli Lukamo Ngoma Kisamani
Keni Butembo Kinu Mbatemya
Bunya Buhila Kigali Bujumbura

Geuka geuka geuka geuka
(Ah) geuka geuka geuka geuka
Songa mbele songa mbele
Songa mbele
Rudi nyuma (eeh)
Rudi nyuma
Rudi nyuma rudi nyuma

Dali Kimoko (eeh)
Baba (yeeh)
The best of the best (hehehe)
Dali

Mama Maria eeh (every body dance)
Mama Maria eeh (yaya tukinata)
Mama Maria eeh (yaya tukinata)
Mama Maria eeh
Mama Maria eeh (every body dance)
Mama Maria eeh (yaya tukinata)
Mama Maria eeh (yaya tukinata)
Mama Maria eeh

Geuka geuka geuka geuka
Choma nyama wewe
Nije na tule tufanye karamu
Hata ikiwa ya sisi wawili

Every body we dance now
Geuka
Geuka geuka geuka geuka
Songa mbele songa mbele
Songa mbele



Credits
Writer(s): Samba Mapangala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link