Joto Hasira

Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)
Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)

Kila siku nimenuna
Kwani tunagombana
Tena tunakosoana
Kama tumechanganyikiwa
Na sioni hata maana
Ya si kuzinguana
Yani kila mtu anajua sana
Au yote sababu yaa
Sababu yaa

Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)
Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)

Mazao twalima wote
Sahani wavuta kwakoo
Kama chakula tule wote
Kwanini chote kije kwakoo
Kisu mpini umeshika wewe
Vitisho kunikata mimi
Mmmhhhh
Au yote sababu yaa
Sababu yaa

Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)
Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)

Uuuuh
Sahau sahau shidaa
Oooh
Ishida ziliisha jana
Say goodbye joto
Rest in peace shida
Knock knock Money

Wenyewe wanasema usawa unakaba
Na rafiki wa kweli ni mama na baba
Hawa wengine wala usiwaamini
Maana binadamu wa sasa
Wana roho saba
Watakuwa na wewe kwenye raha
Na hawatakuwa na wewe kwenye njaa
Bora nipige misele yangu
Pekeyangu
Niruke pekeyangu
Na woga niliukataa
Aah
Nabadilika kama saa
Na siku hazigandi
Na sitokata tamaa
Wamejaa usaliti na chuki
Watu wa karibu
Wanageuka Mamluki
General Nasonga
Iwe joto au baridi naamini tutashinda
Kama ngwai iwe ngwai
Barida
We make more money
Rest in peace shida
Ukinuna nataka tunune wote
Ukilia nataka tulie wote
Vita vyako tunapigana wote
Tukishinda tushinde
Au bora tufe wote
Kama kulima kote tumelima wote
Hata kupanda
Kote tumepanda wote
Kupalilia tumepalilia wote
Aah nashangaa sasa
Mbona hatuvuni wote

Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)
Hili joto hasiraa
(Ambaa)
Upepo hakunaa
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa ambaa)
foleni njia nzimaa
(ambaa)
na pesa hakuna
(Ambaa naruka mwenyewe
yelelaa yelelaa Ambaa)



Credits
Writer(s): Judith Wambura Mbibo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link